Paul Kagame na kesi ya kutungua ndege ya raia

MSHERWAMPAMBA

JF-Expert Member
May 22, 2014
341
119
MH!17 na kuhusishwa na Vladimin Putin rais wa serikali ya Russia hivi sasa baada ya tuhuma zinazomkabili kiongozi huyo kwa support kubwa anayptoa dhidi ya serikali ya ukraine,inavyosemekana chombo kilichotumika kuipiga ndege ya kiraia kilitokea nchini kwake pamoja na order zote,case ka hii inafanana sana na case ya rais Paul Kagame wa Rwanda kwa mauaji aliyoyaamrisha na kupelekea kuuawawa kwa rais hayati Habyarimana,ile case ni lazima irudishwe tena na wahusika wote ni lazima wapandishwe mahakamani kujibu shtaka la mauaji ya kukusudia.Ka mtaiangalia hii case dhidi yao vizuri hata M7 naye atahusishwa kabisa.Kama warusi wanashutumiwa hivi je itakuaje kanchi na vijiongozi vyake kama vile Kaguta Museven pamoja na rafiki yake mpenzi au brother wake wa utusi wasikamatwe na kufikishwa mahakama ya dunia kujibu shtaka la mauaji?.Tungewajadili hawa criminals wapya wa Africa.
 
Ni sawa na kusema Tanzania ipeleke kikosi cha jeshi kuwasaidia Wapalestina.
 
Halafu nasikia kwenye ile ndege iliyotunguliwa alikuwemo mtoto wa Nyerere au ukweli ni upi wakuu

BACK TANGANYIKA
 
Target ilikuwa ndege ya rais putin lakin ikatunguliwa ya malysia.. Zinafanana na zilipishana dk 40 ktk njia moja.. Hivyo huwez sema kuwa kifaa kimetoka urusi
 
Una uhakika gani kuwa target ilikuwa ndege ya Putin?
 
Target ilikuwa ndege ya rais putin lakin ikatunguliwa ya malysia.. Zinafanana na zilipishana dk 40 ktk njia moja.. Hivyo huwez sema kuwa kifaa kimetoka urusi

Sijasikia hiyo taarifa,ngoja nizame kwenye news archive nipate uhakikisho
 
Kagame alivyo maliza kutungua ndege akapotezea kwa kumweka jamaa baadaye akarudi kwenye himaya yake yakuwa rais atakuwa rais mpaka apende yeye kutoka!
 
Target ilikuwa ndege ya rais putin lakin ikatunguliwa ya malysia.. Zinafanana na zilipishana dk 40 ktk njia moja.. Hivyo huwez sema kuwa kifaa kimetoka urusi
Hiyo ndiyo ndege inayosemekana kuwa ni ya Putin ambayo ilipita njia ile ile ambayo ile ndege ya Malaysia ilipata ajali.
 
Attachments

  • 33.jpg
    33.jpg
    19.3 KB · Views: 145
Kagame anaingia vipi hapa? Kwanza hakuna ushahidi wa kumhusisha Kagame na kutunguliwa kwa ndege ya Habyarimana. Ni majungu.
 
unachekesha wewe. hao ni life presidents kama baba robert kule harare.

MH!17 na kuhusishwa na Vladimin Putin rais wa serikali ya Russia hivi sasa baada ya tuhuma zinazomkabili kiongozi huyo kwa support kubwa anayptoa dhidi ya serikali ya ukraine,inavyosemekana chombo kilichotumika kuipiga ndege ya kiraia kilitokea nchini kwake pamoja na order zote,case ka hii inafanana sana na case ya rais Paul Kagame wa Rwanda kwa mauaji aliyoyaamrisha na kupelekea kuuawawa kwa rais hayati Habyarimana,ile case ni lazima irudishwe tena na wahusika wote ni lazima wapandishwe mahakamani kujibu shtaka la mauaji ya kukusudia.Ka mtaiangalia hii case dhidi yao vizuri hata M7 naye atahusishwa kabisa.Kama warusi wanashutumiwa hivi je itakuaje kanchi na vijiongozi vyake kama vile Kaguta Museven pamoja na rafiki yake mpenzi au brother wake wa utusi wasikamatwe na kufikishwa mahakama ya dunia kujibu shtaka la mauaji?.Tungewajadili hawa criminals wapya wa Africa.
 
MH!17 na kuhusishwa na Vladimin Putin rais wa serikali ya Russia hivi sasa baada ya tuhuma zinazomkabili kiongozi huyo kwa support kubwa anayptoa dhidi ya serikali ya ukraine,inavyosemekana chombo kilichotumika kuipiga ndege ya kiraia kilitokea nchini kwake pamoja na order zote,case ka hii inafanana sana na case ya rais Paul Kagame wa Rwanda kwa mauaji aliyoyaamrisha na kupelekea kuuawawa kwa rais hayati Habyarimana,ile case ni lazima irudishwe tena na wahusika wote ni lazima wapandishwe mahakamani kujibu shtaka la mauaji ya kukusudia.Ka mtaiangalia hii case dhidi yao vizuri hata M7 naye atahusishwa kabisa.Kama warusi wanashutumiwa hivi je itakuaje kanchi na vijiongozi vyake kama vile Kaguta Museven pamoja na rafiki yake mpenzi au brother wake wa utusi wasikamatwe na kufikishwa mahakama ya dunia kujibu shtaka la mauaji?.Tungewajadili hawa criminals wapya wa Africa.

Comparing apples and oranges....Garbage
 
Hii Kagame bashing mtaacha lini na story zenu za kuunga unga wapuuzi wakubwa nyie
 
Back
Top Bottom