Tuweke kando kuhusu kama ni dikteta au sio.Cha ajabu unamuita Kagame dikteta wakati Muzungu mwenyewe aliyekufundisha hata kutamka neno dikteta anamkumbatia P.Kagame, P.Kagame ndiye Mwafrika pekee Dunia hii ambaye Muzungu anasikiliza, sasa sijui utakwenda kushitaki wapi na kwa nani atawasikiliza?
Tuweke kando kuhusu kama ni dikteta au sio.
Kwahiyo kama mzungu anamkubali na kumkumbatia ndio iwazuie wengine kuona au kusema ubaya wake?
Akili za lumumba hizi.
Mtasema number nyie waendeķeza matumbo wa ccmSasa kama ni kweli ma subhuman kama wewe mtakimbilia wapi? Kwa maana kwa Muzungu mtafukuzwa kama mbwa mwizi, huwezi kwenda kumchoma Kagame kwa Muzungu na Muzungu akakuelewa, atakuona wewe ndo una matatizo!
Hakika mkuu, ila sijui kwanini wanashindwa kumshauri mwenzao manake hali ni mbaya ya kibiashara. Watu wamekata tamaa na Nchi yao🙁🙁🙁Haya mambo anayaweza Jk tu, hapo ungeona yupo katikati na kicheko kibao.
Missing you ''mswahili'', ''mtu wa watu'','' master wa siasa'' na ''king wa utawala bora' '
Likianzishwa shindano la kiongozi wa upumbavu JF,hakika kura zako hazitofikiwa na mwanachama yeyote yule.Hilo swali waulize chadema ambao kutwa hukimbilia kwa Muzungu kushitaki!
Muulize kakobe atakuambia kilichomkuta baada ya kushauri ''...atubu....''Hakika mkuu, ila sijui kwanini wanashindwa kumshauri mwenzao manake hali ni mbaya ya kibiashara. Watu wamekata tamaa na Nchi yao🙁🙁🙁
Congo=Cobalt=TechKama huwajui wazungu lengo lao ni madini ya congo kwa mgongo wa dikteta Kagame, ukiona hivyo jua wakongo watazidi kuteketea kwa muda mrefu sana.
Kagame ananuka damu, damu damu... still these CEOs lining up with a person accused of brutal dictatorship!,,Dikteta" P.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!
Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani) na wengineo.
Yupo mtaa wa nyuma hapo naskia ananunua Mapapai .Wa kwetu yuko wapi?
Kagame ananuka damu, damu damu... still these CEOs lining up with a person accused of brutal dictatorship!
Paul Kagame: What Makes for a Tolerable Dictator?
Twenty-three years after the Hutu majority government committed mass genocide against close to 1 million Tutsis in 100 days, incumbent Paul Kagame won 99% of the votes in Rwanda’s presidential elections last Friday in an outcome that surprised no one. Two years previously, the government had proposed an amendment on term limits and had it rubber-stamped in a referendum that was widely criticized by human rights organizations, paving the road for Kagame to stay in office until 2034 if he so desires.
Hahaha.....kwahiyo hata kama tunakwenda in wrong direction hakuna wa kutusemea??Basi kazi ipoMuulize kakobe atakuambia kilichomkuta baada ya kushauri ''...atubu....''
Kagame naye kaenda kwa wazungu kuishitaki nchi yake? mbona unajichanganya mwenyewe.Hilo swali nikuulize wewe na wenzako ambao hushinda kwa kwenye corridor za Muzungu kila siku kuishitaki nchi yetu!
Mhutu Mkunziza naye kaamua kupiga hii kitu mpaka 2034Kagame ananuka damu, damu damu... still these CEOs lining up with a person accused of brutal dictatorship!
Paul Kagame: What Makes for a Tolerable Dictator?
Twenty-three years after the Hutu majority government committed mass genocide against close to 1 million Tutsis in 100 days, incumbent Paul Kagame won 99% of the votes in Rwanda’s presidential elections last Friday in an outcome that surprised no one. Two years previously, the government had proposed an amendment on term limits and had it rubber-stamped in a referendum that was widely criticized by human rights organizations, paving the road for Kagame to stay in office until 2034 if he so desires.
Mkuu acha tu.Sijui tulimkosea nini aliye juu hadi tukaletewa huyu aliye chini...
Jaribu uone. Dawa huku ni kupiga zipu mdomo ili kuepuka kukutwa na yale ya wasiojulikaHahaha.....kwahiyo hata kama tunakwenda in wrong direction hakuna wa kutusemea??Basi kazi ipo
Mashetani huchaguana wao kwa wao, na malaika huchaguana wao kwa wao pia.Sijui tulimkosea nini aliye juu hadi tukaletewa huyu aliye chini...