Anafungua viwanda vya mafuta ya kulaWa kwetu yuko wapi?
Anaelewana lugha na wa-Chato wenzake tuWa kwetu yuko wapi?
P.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!
Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani)
Leo ni yenu wanyarwanda kumsifia dikteta.
Tunaweza kuchukulia kawaida but the man has serious problem!Anaelewana lugha na wa-Chato wenzake tu
Unataka kusema ile ya malkia haipandi?Anaelewana lugha na wa-Chato wenzake tu
Yai la font phage?Unataka kusema ile ya malkia haipandi?
Ameenda kumwakilisha mhutu mwenzie anaeongoza TANZANIA. Wanafikiria kuunganisha Tanzania na Rwanda. Hawa madikteta wawili wanajidanganya. Ila huyu wa Rwanda kidogo anayo akili anamdanganya mwenzie amwibie mali za tz halafu atakuja mwacha apambane na hali yakeP.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!
Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani)
AseeeeeeAnafungua viwanda vya mafuta ya kula
Kama huwajui wazungu lengo lao ni madini ya congo kwa mgongo wa dikteta Kagame, ukiona hivyo jua wakongo watazidi kuteketea kwa muda mrefu sana.Cha ajabu unamuita Kagame dikteta wakati Muzungu mwenyewe aliyekufundisha hata kutamka neno dikteta anamkumbatia P.Kagame, P.Kagame ndiye Mwafrika pekee Dunia hii ambaye Muzungu anasikiliza, sasa sijui utakwenda kushitaki wapi na kwa nani atawasikiliza?
Hata mdingi wa 80 anajifunza computerTunaweza kuchukulia kawaida but the man has serious problem!
"Kama huwezi kujifunza mambo mapya nikwamba wewe tayari u mzee ata kama una miaka 10"
,,Dikteta" P.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!
Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani) na wengineo.
Ameenda kumwakilisha mhutu mwenzie anaeongoza TANZANIA. Wanafikiria kuunganisha Tanzania na Rwanda. Hawa madikteta wawili wanajidanganya. Ila huyu wa Rwanda kidogo anayo akili anamdanganya mwenzie amwibie mali za tz halafu atakuja mwacha apambane na hali yake
Napita hivi nisije jikuta ununio.Yai la font phage?