madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
Mipasuko waiona wewe? Wachekesha kama shetani kujaribu kumshauri malaika.Hoja ya chadema ni taasisi ni dhaifu sana taasisi inatakiwa kuongozwa na watu imara na wenye malengo mamoja ya kufikia kile walichokusudia,taasisi hii yenye mipasuko kila eneo taasisi gani labda ya kibao kata!
Aliondoka dr Slaa na tukaendelea
Ni kama tu Nyalandu na Lowassa, hawa nao ni pengo kubwa kwa CCM maana ilitumia muda wa kutosha kuwashambulia.Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua Mwenyekiti wa BAVICHA kujiunga na CCM, inaonyesha CHADEMA wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo na kukosa msimamo.
Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya Mwenyekiti.
Kitendo cha CHADEMA nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu.
Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka.
CHADEMA jibuni hoja za waliohama msipanic
Angalizo msimuamini hata Mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
Tangu hiyo juzi aliondoka mbona kampeni zetu zimeendelea na nyomi za kufa mtu mpaka hapo hujaisoma tu kama chadema ni taasisi iliojengwa kwa muda mrefu kwa msingi mnene wa kuhimili vimbunga na mafuriko
Ndio jadi yao angalia walivyosahau mema ya dr slaa mpaka leo hii wanayumba kumpata mbadala!Makarai watakuambia huyo mzigo lakini wamesahau makarai yote walimchagua huyo kama karai kiongozi Leo wanatoka na povu
Labda inawezekana!Ni kama tu Nyalandu na Lowassa, hawa nao ni pengo kubwa kwa CCM maana ilitumia muda wa kutosha kuwashambulia.
Hao wabunge aliwaandaa nani?Huyo ni pengo la mdomoni halina madhara yeyote,aliondoka slaa wabunge aliacha 18 leo wko 45
kuhama hama ni haki ya kila mtuNi kweli wote tukiwa chadema nani atakuwa Cuf ila tuangalie nini kinasababisha hama hama hii kama mwenye nyumba amepandisha kodi!
Mdogo anaepanda anategemea kuvuna kumbuka fainali uzeeni kama huko aliko alikua akikauka koo kwa ahadi tu sidhani hata wewe ungekua mjinga kiasi hicho ila mkabeni mashinji anajua!Hiyo ndio sababu nzuri kipropaganda. Yeye alichofuata huko ni maslahi. Kukosa ushirikiano ni changamoto za ndani. Hata wake zetu huko ndani huwa wanatunyima ushirikiano wa tendo la ndoa lakini hatuhami nyumba. Huko ccm anaokoenda nako akikosa ushirikiano atahama pia? Ni haki yake kuhama chama na kwenda popote na hata huko alipo akiona hapati anachotaka anaweza kuhama pia, cha muhimu ni aina ya sababu zinazomuhamisha. Na kikubwa ninachopenda kukuambia huyo bwana mdogo ana uwezo mdogo kiuongozi hilo halina ubishi. Ila maadam kwa ccm wanachotaka ni mtu toka cdm ili ionekana rais na serekali yake wanakubalika hapo lengo lenu limefanikiwa lakini matokeo ni hafifu.
Hapa umenena mkuu!kuhama hama ni haki ya kila mtu
tuheshimu maamuzi ya watu
Anapata simu za vitisho yeye na familia yake!MTU anatoka jasho kwenye kwapa wewe unasema ni pengo kubwa.
Nani ambaye sio pengo kubwa na je ni kubwa kushinda la Dr slaa.??Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua Mwenyekiti wa BAVICHA kujiunga na CCM, inaonyesha CHADEMA wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo na kukosa msimamo.
Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya Mwenyekiti.
Kitendo cha CHADEMA nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu.
Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka.
CHADEMA jibuni hoja za waliohama msipanic
Angalizo msimuamini hata Mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
Aliondoka Dr Slaa na bado CDM ikawa imara,sembuse huyo kitambiHakika Chadema wanatapatapa kama kuku anaetaka kukata roho.
Hizi ni ramli za watu wenye elim ya kaptula.Hapa umestruggle kweli kama umejenga hoja chonganishi.You a mere idiot girl
NYIE JIFARIJINI TUAliondoka Dr Slaa na bado CDM ikawa imara,sembuse huyo kitambi