Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

popote katambi anafaa hata kama tukikosa ila tutakuwa tumejaribu kwan wengne(wazawa)wana uhakika gan?
 
fuatilia post zangu ndio utanijua. Sipendi ukamanda unafiki.

Hafai kuwa mgombea abaki BAVICHA

Mkuu heading yako iko sawua, tatizo ni hoja ulizozitoa!! Hivi kweli chadema ikimuengua kwa hoja hizo za uzawa, tutakuwa na akili kweli!?
Binafsi naamini kama chadema inataka kulipoteza jimbo hili basi tulogwe tumpitishe Patrobass ama Rachel Mashishanga. Turufu pekee ya chadema ni kamanda KASILI. Naapa lazima aongoze kura za maoni. Sasa kama kamati kuu itafanya yale ya Kalenga, shauri yao.
 

Mtia nia....hili neno linazidi kuwa maarufu, linanikera sana.
 
Patrobasi tangia aingie bavicha ni matatizo tu,yani anataka kutugawa bavicha,ni msaliti huyu,hafai kabisaa
 
hapa shinyanga panaitaji mtubatakae kubalika pande zote,yaani kwa wazawa na sisi mwenzangu na Mimi wakuja.
chadema Ina support kubwa Sana hapa shy,lakini wakisubutu kumsimamisha MTU lege lege then hili jumbo litarudi ugambani.
 
mtoa hoja usiogope apiti huyo we tia nia tu alafu haya yanaongelewa kwenye vikao sio humu ndugu yangu au umeanza kuwa na tabia ya magamba au act ya zito ambayo iko kwenye mitandao tu.
 
Kwa nini ahamie chama cha wasaliti Tanzania?

Aendelee kupiga kazi BAVICHA
Maneno ya kuzusha yameshazoeleka...Chadema inaongozwa kwa propaganda na uzushi wa kuchafuana wao kwa wao simply ukitofautiana mawazo na baadhi ya viongozi wa chama.Wakati wengine wakijiimarisha, Chadema inameguka kama kuna ndoto ya kuishika hii nchi kwa style hii bado sana.
 

Acheni uoga nyie, subirini kura za maoni ndiyo zije kuamua.
 
Nikama nawaona waliopo nyuma ya poqt hii,wakumkataa na kumbali si nyie pekee bali wananchi,so mzizuie dzmokrasia kutamaliki,kuwa kiongozi ndani ya CDM hakukuzuii kugombea nyaaifa za uwakirishi wananchi,jipangeni kwenye kura ya maoni,wewe mbona bado unasoma na umetia nia?
 

You can see it's backfiring now!! Ukishaanza dhambi ya ubaguzi hutasalimika..
 

Mkuu tunakuomba kwanza ujitambulishe ujulikane wewe ni nani ndani ya siasa za upinzani,baada ya hilo tutakupa ushauri
 

Mkuu inabidi mjue hao wanao post ni upanse gani?
 
Wewe ni kamanda perfect wa Ugambani.
Chadema wanataratibu zao na hamna huo ujinga wa ukabila na uzawa.

Kumbe tayari umemgundua kuwa ni gamba? Hongera kamanda kwa kuligundua hilo gamba
 

Tunashukuru kumpasha huyo gamba mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…