Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

Wewe lazima utakuwa msaliti wa chama chetu haiwezekani lazima agombee tu hakuna wa kumzuia wengie nyie sisimizi tu.
 
Patrobass katambi ndiye Mbunge mtarajiwa wa Shinyanga...kama mnamwogopa baada ya kutangaza nia...shauri yenu...katambi kwao ni shinyanga na baba yake ni Dr. hapa na wamejenga nyumba hapa na ni msukuma....halafu..kumbuka mijini hakuna cha mzawa..sijui wewe ni wa wapi? acha ujinga wako mkuu wa kutuingiza huko..
Mkuu.
Baba yake ni doctor wapi hapa shinyanga? Tupe fact mkuu.

Mama yake anaishi mtaa gani hapa?

Acheni mamasihalah kwenye vitu muhimu.

Atuambie anaishi eneo gani hapa mjini? Famili ipo wapi?

Kila mzee anauliza tunaletewa mbunge kama Masele?

Ukweli anaujua PatrobPatrobas na alivyo hajulikaniki
 
NOOOO....Huyu sio chadema....hujathibitisha kama ni mwanachedema kweli...kama ni chadema basi hana ethics za chadema...Ondoeni hofu..kila kitu kipo vizuri...

Mkuu,

Tunayajenga mahali popote, tunajiami huu ni waraka wa wazi kwa kamanda Patrobas anatupa wakat mgumu kumuuza refer agend yetu ya 2010. Kuwa masele si mkazi wa hapa.

Marehemu Shilembi aliliimba sana hili.
 
jamani hapa inabidi chama kiwe makini sana .....siasa za shinyanga ni kama za mwanza...tujiulize je patambi ameshiriki mara ngapi kujenga chama shinyanga kabla hajawa mwenyekiti wa vijana ? shinyanga ni jimbo la chadema kweupeeeeeee.....je alishiriki kwenye kampeni serikali za mitaa au ni wana shinyanga wenyewe? shinyanga ccm ni chama cha upinzani pale toka enzi za shilembi....hii tabia ya kila kiongozi kutaka kugombea itatucost huko mbele.....patambi bado kijana ushauri wangu kama mwana chadema atulie ajenge chama sasa viongozi wote wakigombea nani atakua na jukumu la kupiga kampeni ? sijajua anakubalika kivipi ...ila tokea nimeamua kuwa mfuasi wa chadema nikiwa mwanza sijawai msikia patambi akitajwa pale shinyanga toka enzi za kina shilembi ....sasa isitokee tu mtu kwa vile ni kiongozi akawania jimbo kutazuka mpasuko mkubwa endapa atashinda kwa kura chache kwenye kura za maoni tarime jimbo liliponyoka hivi hivi kisa ugomvi wa heche na waitara kipindi hicho heche akiwa mwenyekiti wa taifa alipogombea na kushindwa lakini leo hii heche baada ya kuvumilia kwa sasa ana nguvu kubwa sana tarime namshauri patambi atulie kwanza

Pamoja sana mkuu, hili ndio hoja. Kila sehemu na siasa zake.

Arusha na hapo Dara kuna siasa zake tofauti kila sehemu.

Watu wanakurupuka kama wametoka usingizini
 
Wasalam Jamvini,

Kamanda Patrobas Katambi, nakuomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini mara moja.

Kamanda, unafahamu kuwa wewe si mzawa wa hapa Shinyanga Mjini. Na kwamba turufu hii tuliitumia kama CHADEMA dhidi ya Masele na kusababisha ushindi kwetu.

Kamanda, unafahamu huna ndugu wala jamii yako hapa mjini unag'ag'ania. Kamanda Masele /Nkurunziza.

Kamanda, unafahamu jimbo la Kahama walikukatalia live, ambako kuna ndugu zako, umefika wilayani hapa na mbunga wamekukubalia kutia nia.

Kamanda, unafahamu ulivyoanzisha mtandao wa kimakundi CHADEMA wilayani hadi kata.

Kamanda, unafahamu wanashinyanga walivyo na misimamo. Juu ya uzawa wameonewa kwa miaka zaidi ya 10.

Kamanda, unafahamu kwana watia nia zaidi ya 10 wenye sifa ila umekomalia kisa ni kiongozi wa kitaifa utapata tu.

Kamanda, unajua ulikataliwa na walimu siku ya seminar yao. Ukimwakilisha Rechal Mashishanga ulizomewa kwa maneno yako kwao. (Ulimi hauna mfupa)

Kamanda unafahamu. Uongozi makao makuu unakubeba, hata mkutano wa hadhara juzi juzi NKMZ Salum Mwalimu alikubeba na kuwaacha watia nia wengine.

Kamanda ni hivi, kujenga CHADEMA si lazma uwe ni Mbunge, mbona una Cheo kizuri kukitumikia chama, BAVICHA TAIFA.

Jipime! usikibomoe chama kwa tamaa zako Kamanda.

Ukweli MCHUNGU wewe si MZAWA wa hapa.

Am always PERFECT.

ACHA UKABILA KIJANA:A S-rap:HATUCHAGUI MTU KUTOKANA NA DINI YAKE AU KABILA LAKE...........JKN
 
Mkuu RwB,

Mkuu, kila sehem kuna siasa zake kamanda.

Siasa za mkoa ama jimbo la shinyanga ni zaid ya ujuavyo mkuu.

Huwezi linganisha na issue ya Mbowe ama mahali ama mtu mwingine.

Naomba atuambie kwa nini Kahama walimkatalia hapo hapa CHADEMA Wilayani?

Kamanda, Mpaka sasa kaifikisha wapi BAVICHA?

Respect wa boda boda, haya mambo si ya kuyachukulia juu ama kishabiki.

Dogo tumkanye ajitambue.

Hatutaki mpasuko usio wa lazma

Mkuu Perfect

Kwanza niseme wazi, nimevutiwa na ufupisho wa Id yangu ulioutumia, kwakweli umeonyesha ubunifu asante kwa hilo.

Nikirudi kwenye mada mkuu nikisema ulete hapa ushahidi wa Katambi kukataliwa huko Kahama sidhani kama utakuwa nao..!! Ni vitu vya kulabdisha tu hakuna lolote, ni moja ya siasa zinazofanywa na wapinzani wa mgombea iwe ni ndani ya chama au nje. Tukubali tutoke kwenye kichaka hicho.

Halafu mkuu, hatuwezi kumjaji Katambi hivi leo kwa uongozi wake ndani ya Bavicha, ieleweke mimi na wewe tuko nje ya Bavicha kinachoendelea ndani ya Bavicha hatukijui, lakini kama ni habari ya kufanya mikutano nadahani kila mmoja anajua kwamba Latambi kafanya hivyo, iwe yeye mwenyewe au wasaidizi wake Kama NMKT au KM ama NKM wote wameendesha harakati za kisiasa bila kukoma, haya yote yasingefanyika kama kungekuwa na Mkiti Dhaifu. Kama hiyo haitoshi Bavicha mpaka sasa wamefanya mkutano mmoja wa kimataifa Jijini Dareslaam ulioandaliwa na Babicha chini ya Patrobas naw sifa walizopewa Bavicha kwa ubunifu naw uendeshaji siasa kwa hapa Tanzania kila mmoja anajua(uzi uko hapa ndani), hii ikikuwa ni baada ya Katambi kwenda Ujerumani na kina Safari na Salim Mwalim kwenye uwakilishi kichama

Kiukweli Bavicha iko kwenye mokono salama chini ya Katambi.

Halafu mkuu kutojua kwangu siasa za Shytown hakuwezi kukanifunga kushindwa kuona kwamba wewe ama ni mgombe unayeihitaji nafasi hiyo au unamgombea unayemuunga mkono kwa hali na mali. Na ndiomaana huwezi kuona jambo lolote zuri kwa Patrobas kwa sasa na hata likionekana zuri hutaisha kuweka kasoro ilimradi aonekane hafai kuwa mbunge wa huko Shinyanga. Na. hapa inathibitika unapodai kwamba tumkanye Katambi..!! Kwa lipi hasa, Mpasuko gani aliousababisha Katambi huko Shy?

Tafakari..

BACK TANGANYIKA
 
VICTORIE...Sina interest na Kundi lolote,
please inaonekana wewe unamfahamu huyo mgombea,Katambi,please unaweza kunijuza ni nani,anafanya nini kwa sasa,na anaifahamu vipi Shy,au atleast binafsi nahitaji,nina Hamu kumjua,kwasababu kina katambi wapo wengi sana Shy,wapo Ndala,wengine ni MC,Wengine ni wazee flani na shughuli zao,sasa ni yupi huyo?
Katambi ni mwenyekiti wa BAVICHA TANZANIA/TAIFA.Yeye alisoma Mwanza st Augustin Un.Alifanya kazi Sahara Mwanza.huyu hajatoka kwenye majina makubwa kubwa.Mama yake mwalimu na baba yake ni Tabibu wa binadamu
 
Aisee Mkuu tunaomba tumjue Huyu Katamba anaishi wapi,anafanya kazi gani kwa sasa,ameshiriki vipi Maendeleo au anajua vipi Mkoa wa Shinyanga?
Hawa kina Katamba wako wengi ndo maana nauliza ni yupi huyu anaegombea?wapo wazee na vijana kina Katamba,unamzungumzia yupi Kamanda?

Mkuu monaco,
Utaniwia radhi huyo Katamba simjui..!!

BACK TANGANYIKA
 
Mkuu Perfect

Kwanza niseme wazi, nimevutiwa na ufupisho wa Id yangu ulioutumia, kwakweli umeonyesha ubunifu asante kwa hilo.

Nikirudi kwenye mada mkuu nikisema ulete hapa ushahidi wa Katambi kukataliwa huko Kahama sidhani kama utakuwa nao..!! Ni vitu vya kulabdisha tu hakuna lolote, ni moja ya siasa zinazofanywa na wapinzani wa mgombea iwe ni ndani ya chama au nje. Tukubali tutoke kwenye kichaka hicho.

Halafu mkuu, hatuwezi kumjaji Katambi hivi leo kwa uongozi wake ndani ya Bavicha, ieleweke mimi na wewe tuko nje ya Bavicha kinachoendelea ndani ya Bavicha hatukijui, lakini kama ni habari ya kufanya mikutano nadahani kila mmoja anajua kwamba Latambi kafanya hivyo, iwe yeye mwenyewe au wasaidizi wake Kama NMKT au KM ama NKM wote wameendesha harakati za kisiasa bila kukoma, haya yote yasingefanyika kama kungekuwa na Mkiti Dhaifu. Kama hiyo haitoshi Bavicha mpaka sasa wamefanya mkutano mmoja wa kimataifa Jijini Dareslaam ulioandaliwa na Babicha chini ya Patrobas naw sifa walizopewa Bavicha kwa ubunifu naw uendeshaji siasa kwa hapa Tanzania kila mmoja anajua(uzi uko hapa ndani), hii ikikuwa ni baada ya Katambi kwenda Ujerumani na kina Safari na Salim Mwalim kwenye uwakilishi kichama

Kiukweli Bavicha iko kwenye mokono salama chini ya Katambi.

Halafu mkuu kutojua kwangu siasa za Shytown hakuwezi kukanifunga kushindwa kuona kwamba wewe ama ni mgombe unayeihitaji nafasi hiyo au unamgombea unayemuunga mkono kwa hali na mali. Na ndiomaana huwezi kuona jambo lolote zuri kwa Patrobas kwa sasa na hata likionekana zuri hutaisha kuweka kasoro ilimradi aonekane hafai kuwa mbunge wa huko Shinyanga. Na. hapa inathibitika unapodai kwamba tumkanye Katambi..!! Kwa lipi hasa, Mpasuko gani aliousababisha Katambi huko Shy?

Tafakari..

BACK TANGANYIKA
Mkuu RwB,
Mkuu nakuwekea ushahidi wa kuwa ndio mtu wa kwanza kuweka nia hapo Kahama.
Baadae akaondoka kuja shy.

Mkuu jifunze na siasa za sehemu zingine utapata ufahamu mkubwa wa kisiasa. Aksente.

Always am perfect
 
Attachments

  • IMG-20150515-WA0036.jpg
    IMG-20150515-WA0036.jpg
    54.4 KB · Views: 115
Shinyanga? anyway u can't ignore the fact mkuu tetty

Acheni UKABILA jamani.Hatuko Rwanda au Burundi.Angalieni uwezo wa mtu.Haipendezi kabisa.Hivi mtu aliyezaliwa na kukulia Shinyanga lakini si Mnyamwezi wala Msukuma na anauwezo wa kuongoza,hawezi kugombea shinyanga sababu siyo wa kabila toka Shinyanga?Mnatia aibu.Sumu ya ubaguzi itamaliza akili yako ACHA UJINGA huo
 
Njoo field mkuu,

Acha kubwabwaja kwenye keyboard.

Ama angalia bunge, kama kuna mbunge Msukuma Kigoma ama Mhaya Kasikazini
 
Katambi ni mwenyekiti wa BAVICHA TANZANIA/TAIFA.Yeye alisoma Mwanza st Augustin Un.Alifanya kazi Sahara Mwanza.huyu hajatoka kwenye majina makubwa kubwa.Mama yake mwalimu na baba yake ni Tabibu wa binadamu
Anaishi wapi hapa Shinyanga?

Kila akija anaishi guest hii haikubaliki kupoteza jimbo kwa ajili yenu watu wachache. Hapana
 
Back
Top Bottom