Patrobas Katambi wa CHADEMA, atekwa akirudisha fomu ya ubunge Shinyanga Mjini

Status
Not open for further replies.

Kilaza

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
3,324
1,377
Mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na kunyang'anywa fomu zake za ubunge.

Nimezungumza na mwenezi wa jimbo hilo na kuthibitisha hilo lakini pia simu ya mgombea haipatikani.

Nimeongea pia na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha hili.

Atekwa.JPG
Patrobas Katambi katika Picha
Wakuu,
Ni kweli tukio limetokea mapema leo hii, lakini "wavamizi" hao wameondoka na copy. Na si original form.

Mpaka sasa napoandika, saa 7 mchana. Tupo hapa ofisi za mkurugezi Jimbo la Shinyanga mjini. Tunarudisha fomu na zimepokelewa.

Mapambano yanaendelea...
 
Rafu zimeanza mapema!

Pia kuna uwezekano wa watu kununuliwa na kuhujumu upinzani hivyo jambo hili lichunguzwe.
 
Duh hii hatari ila naogopa isje kuwa kama yule mgombea wa serikali za Mitaa Mlalo Lushoto mwaka jana aliyenunuliwa na kujifanya ametekwa hadi muda wa kuridisha form ukapita. MANI sipo online kule kwenye group. Hizi taarifa zina ukweli kiasi gani?
 
Last edited by a moderator:
Duh hii hatari ila naogopa isje kuwa kama yule mgombea wa serikali za Mitaa Mlalo Lushoto mwaka jana aliyenunuliwa na kujifanya ametekwa hadi muda wa kuridisha form ukapita. MANI sipo online kule kwenye group. Hizi taarifa zina ukweli kiasi gani?
Huu ni ushenzi wa hali ya juu, ikigundulika ni hivyo ni bora akakatwa kichwa chake, hatuna masihara katka hili.
 
Last edited by a moderator:
Wanashindwa kumteka Lowassa otherwise wangeweza hata yeye kumteka ili asirudishe form....kazi ipo mwaka huu..ila itafahamika tu mwaka huu..yaani hakuna rangi CCM wataacha kuona katika uchaguzi huu
 
Huyu si alikuwa mfanyakazi wa Diallo..? Diallo achunguzwe mawasiliano yake.. IT wa Chadema tunaomba majibu
Nalo lafaa mkuu! Huu ni ujinga kabisa. Nakumbuka mchezo huu aliwahi fanyiwa mgombea wa Upinzani mwaka 2005 jumbo LW Rungwe Mashariki kwasasa Busokelo, na inasemekana aliyafanya hayo Mwandosya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom