Anadaiwa Tsh ngapi?. Kwani kudaiwa ni shida?.Kwanini wametundikwa kwenye gazeti?,wamegoma kulipa?By the way nitajibu hapo penye maandishi mekundu, kwa sababu pananihusu kiasi fulani.
Niko kwenye sekta ya nishati jadidifu kitambo sana, miaka 15 na kidogo. Huyu bwana ni mjasiriamali mzuri sana kwenye suala la umemejua (solar), ambako alitapa tenda kadhaa za UN, kufunga umemejua kambi za wakimbizi. Huko ndiko alikoanzia hizo fortune zake na kampuni yake ya Helvetic Solar Contractors. Then baadae mwaka 2013 akaingia kwenye rekodi za jarida la Forbes kama milionea kijana, makala iko HAPA. Ndipo macho ya Watanzania wengi yakaanza kumuona na kumpa headlines kwenye magazeti na social media. Infact ni kati ya vijana wachache wenye mafanikio, ingawa kwa tunaoifahamu biashara ya solar (imeingiliwa sana na Wachina tangu 2000) kwa hapa Tanzania ilitupa mshituko kidogo kwamba inawezedkanaje kutengeneza mshiko mrefu kiasi kile (dola 8 milioni) ndani ya muda mfupi ule, kwa sababu soko la solar ni gumu kwa hapa kwetu.
Sasa nashangaa leo kawekwa kwenye orodha ya wadaiwa wa benki! Mtu mwenye 8 million dollar business anashindwaje kulipa mkopo wa benki?
Tuendelee kujadiliana.
Soma post zote kuanzia mwanzo, naamini utayajua yote hayoAnadaiwa Tsh ngapi?. Kwani kudaiwa ni shida?.Kwanini wametundikwa kwenye gazeti?,wamegoma kulipa?
Ukijua anadaiwa kias gani itakusaidia nini? Hapa mdau katuambia ana usd 8m. Hatujui ni zake au mkopo??but kinachotushangaza ni kuwa ns hicho kias afu unakuja kudhalilishwa kwenye mediaKama mtu ana usd 8mil na akawa anadaiwa usd 4mil unadhani ni rahisi kiasi hicho kuilipa? Point yangu ni kwamba Usd 8mil sio big deal, big deal nikujua anadaiwa fedha kiasi gani!
We ukijua ni zake au za mkopo itakusaidia nini?usitumie kichwa kufugia Nywele tu.Ukijua anadaiwa kias gani itakusaidia nini? Hapa mdau katuambia ana usd 8m. Hatujui ni zake au mkopo??but kinachotushangaza ni kuwa ns hicho kias afu unakuja kudhalilishwa kwenye media
Finland nao wanamchafua Bilionea wetu.Anaweza kuwa ana deni dogo sana, lkn pr dept ya stanbic wakaamua kumchafua jina na business rep yake kwa makusudi sababu ya wivu. Si unajua tena wabongo walivyo.
Ngoja magazeti ya Bongo waidake hii ya Wafini aka WaFinnish . The dude is finished (pun intended).Finland nao wanamchafua Bilionea wetu.
Bilionea wa Forbes..
Tukaambiwa ni bilionea kijana mwenye umri chini ya miaka 30
Sifurahii kushindwa kwa Ngowi... Alikuwa anaenda vizuri sana.. Alishaanza kujijengea heshima na umaarufu.. Na hata nchi yetu pia... Kuna kitu kibaya kimempata... Si kila mmoja hufurahia mafanikio ya wengine hasa katika umri mdogo LAKINI pia ndoa na mahusiano huchangia kwenye angukoJamani nilikuta kwenye gazeti la mwananchi la leo Ijumaa tarehe 5 agosti 2016.View attachment 376333
Wewe ni GT, yametimia.Kwa mfanyabiashara wa aina yake na kwa mazingira ya jinsi mabenki yanavyofanya kazi siku hizi na kwa kuzingatia kuwa yeye tayari ni International Business Figure hawezi kukubali ku-defame jina lake kiasi hicho.Kuna jambo kubwa lipo nyuma ya kile kilichokuwa kinasababisha yeye apate ukwasi huo.
Wewe ni GT, yametimia.