Patrick Ausems huyo Jangwani

Sasa Poyoyo atahangaikaje?

Uwezo huo hana. Malizeni nyie kila kitu.

Hapo ni sawa na tumekupa area of concentration, pitieni kwa umakini Mtani.

Tunawapenda hivyo hivyo pamoja na viburi vyenu, mmeshakuwa watani, hatuna jinsi ni kuishi na nyie hivi hivi.
 
Za chini chini zinasema kuwa aliekuwa kocha wa Simba, Bwana Patrick Ausems yupo katika mazungumzo na Dar Es Salaam Young Africans kwa ajili ya kui-coach timu hiyo inayopendwa sana katika ukanda wa nchi zote za Afrika ya Mashariki, Kusini na Kati na nchi zote zinazo patikana katika upande wa kaskazini wa River Limpopo.

Hans Pluijm, Marcio Maximo na Mwinyi Zahera ni miongoni mwa wanao tajwa kutua Jangwani

Let's wait and see
kui-coach timu hiyo inayopendwa sana katika ukanda wa nchi zote za Afrika ya Mashariki, Kusini na Kati na nchi zote zinazo patikana katika upande wa kaskazini wa River Limpopo.
Na inayofungwa na wenzao.....
 
Hivi Dada Shadeeya nawe una mawazo mgando kama utopolo huyu?
Au wewe una mawazo mtambuka.

Ila Dada kuna mtu hapa ananisumbua sana kwa swali lake.
Ukiondoa ushabiki "hivi kati ya Feisal Salum (Fei toto) na Cleatous Chota Chama, ni yupi kiungo bora yaani fundi haswa wa mpira .?
 
MNAVYOSIFIA WANAUME WENZENU KHA.KAMA WANAWASAIDIA MADADA ZENU HUKO..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom