Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,228
- 9,190
ndio MO ndio kila kitu simba, hukumbuki alivyolalamika kutumia bilion 4 kuhudumia timu ikabidi viongoz wa simba wampigie magoti? MO akiondoka na timu imekufaUliangalia balance sheet ya Simba ukaona pesa zote ni za Mo?

