Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,819
- 9,172
Neema za Allah.
Mimi?Ndiyo mkuu ndiye anaejiita Paula Paul
!
!
Aiseee. Weka Mbali Na Platnumz
Anhaaa kumbe wewe ndio Paula KajaLaMimi?
Ha haaaa haaa eti vibungo!unamaanisha vichachuu?Aiseee nimekimbia chapchap IG kwenda kumtazama huyu mlimbwende hakika anavutia ni mzuri haswaa sio kama hawa vibungo wa huku jf kina Bushmamy kazi kujishingondoa tu wakat hawana lolote
Domo sio role model wangu...ni role model wa Numbisa ndio maana Leo kesho anataka avuliwe chup madale ili apewe child support Pamoja na rav 4 na laki 5 kila mwez
Ndio mzee sura zao chachuu Sana'a tofauti na jinsi wanavyo"vimba" humu ndani unaweza kusema yesss Beyonce si ndo huyuu kumbe in reality ukija kukutana nae ni wanjaraHa haaaa haaa eti vibungo!unamaanisha vichachuu?
Inaonyesha unamuogopa sana,ana nini hasa kinachokuogopesha?Ni P
Saut yako ipo chin sana ongeza kidogo tuu tukusikie ndugu yangu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaaa haaa eti vibungo!unamaanisha vichachuu?
Chombo haswa, nimejikuta nakatamani na uzee wangu huu aisee.Leo Hii, Producer Mkongwe wa Bongoflava Pfunk Majani ametutambulisha mtoto wake wa Kwanza Aitwaye Patricia.. Binti huyu Ndio Dada yake Paula wa Kajala anasoma Chuo Cha sheria huko UK Uingereza..View attachment 1305505
God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
Kwanini...ni shoga ako huyu Paula?
Mkuu penye uzia tembeza rupiaChombo haswa, nimejikuta nakatamani na uzee wangu huu aisee.
Ndiyo yeye sasa siunaona hajabisha.
Yaani wanaume vitombi woote Mwenyezi Mungu huwa ’anawajalia’ watoto wa kike ili na sisi tuwagongee kwa jani au nyagi!