Patrice Lumumba

Kuna chuo kikuu kimoja kilikuwa Moscow kilikuwa kinaitwa Patrice Lumumba university now kimebadirishwa jina wazungu walimuenz kihivyo

Hakijabadilishwa jina Mkuu na mpaka leo bado kinaitwa hivyo hivyo. Marehemu aliacha legacy isiyo ya kawaida na ambayo unaweza kuitafuta kwa Viongozi wa sasa wa Waafrika na usiipate vile vile.
 
Ndiye alieongoza vuguvugu la uhuru wa Congo na alikua kiongozi wa kwanza aliechaguliwa kwa demokrasia nchini humo, pia ni mwanzilishi wa chama cha Mouvement National Congolais (NMC).

View attachment 363315

Umesababisha nitokwe na " machozi " makubwa juu ya huu UZI wako kwa jambo kuu ambalo litabaki kuwa ni SIRI yangu kubwa na historia ya pekee katika maisha yangu. R.I.P Patrice Emelly Lumumba.
 
Hakijabadilishwa jina Mkuu na mpaka leo bado kinaitwa hivyo hivyo. Marehemu aliacha legacy isiyo ya kawaida na ambayo unaweza kuitafuta kwa Viongozi wa sasa wa Waafrika na usiipate vile vile.
Mobutu alimuona huyu ni tishio kubwa kwake, maana unaambiwa alipokua rais alijaribu kujipotrait kama Lumumba lakin kiatu cha Patrice kilikua kikubwa sana kwake.
 
Hapa Tanzania tunae John Magufuli, Zitto Kabwe,Jakaya Kikwete,January Makamba,Benard Membe,Nape Nnauye na Paul Makonda hawa mpaka wakija kufa ndio tutajua kwamba walikua ni Tunu kwa taifa kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Tumekusikia .Proceed proceed kwenye mambo ya muhimu.
 
Mobutu alimuona huyu ni tishio kubwa kwake, maana unaambiwa alipokua rais alijaribu kujipotrait kama Lumumba lakin kiatu cha Patrice kilikua kikubwa sana kwake.

Basi Mkuu unazidi tu " kuniumiza " na " kuniliza ".
 
Umesababisha nitokwe na " machozi " makubwa juu ya huu UZI wako kwa jambo kuu ambalo litabaki kuwa ni SIRI yangu kubwa na historia ya pekee katika maisha yangu. R.I.P Patrice Emelly Lumumba.
Nenda kwenye uzi wa Mobutu nimeweka habari zaidi za Lumumba, sikuweza kupembenua niandike wapi, I cried myself more when I watched a documentary on Uhuru wa Congo kwenye African Channel.
 
Back
Top Bottom