Patashika nguo kuchanika - Kina dada

lazima ilikuwa wapo sehemu ya matumizi wakatibuana. kama siyo bwana basi waliazimana nguo.
 
:A S-coffee: wamesutana wakachoka wakaanza ngumi duh
 
hili balaaa hapo naona ni kuvuana nguo kabisa...
 
Na usiombe kukutana na ugomvi wa wa dada......Ni kuumbuana kwa kuvuana nguo na kwenda mbele...Hatari hii
 
Huwa napenda sana kina dada wakibongo wakizichapa kavukavu!
 
Wadada wanapiganaga au wanashkana shkana tu.
 
mabaunsa hapo kwao ni raha tupu; kupiga chabo
 
Hahah hii picha hawa wadada walikuwa wanagombania bwana kazi ipo lol
 
Ooops mpe credit mange bwana, umeiba picha u-turn.
 
wangekuwa wanaume mabaunsa wangeshatunisha misuli ila hapo wanakula chabo tu
 
Hii Picha nimeiona kwa Mange ikiwa na maelezo kuwa hawa wadada ni wabongo waishio New York eti wamekosana kisha hakiuelezwa
 
Kumbe wanaume dili hadi watu watwangane au ni majungu nini ya kike sijui!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…