Patashika nguo kuchanika - Kina dada

Patashika nguo kuchanika - Kina dada

DSC00746.jpg

majizi matupu!
 


DSC00746.jpg
wa me ingiliana mabwa hao na nima baha medi tu hawanamaan hawooooooooo
 
jamani mbona huo mkono unaojaribu kuwapatanisha ni wa kiume lakini chini anaonekana kavaa skuna?
 
Lipo lakini lina adabu sio kama la bongo th! th! th! :lol::lol::lol::lol:
Ha ha ha... Umenichekesha...kidogonipaliwe, eti vumbi la NY lina adabu, tehe. Ila kweli utamkuta mtu bongo kiatu hukijui rangi yake, kudadadeki
 
jamani mbona huo mkono unaojaribu kuwapatanisha ni wa kiume lakini chini anaonekana kavaa skuna?

Ha ha ha... Huo upande wa kulia eeh... tehe! Una macho wewe...lol
 
hili balaaa hapo naona ni kuvuana nguo kabisa...
...Halafu hawa wanaonekana watu wa vulumani tu angalau kila mtu amevaa kiugomvi si unamuona huyo mwenye gauni hiyo chupi sijui ni likaptula angalau kujihakikishia usalama.:angry:
 
Back
Top Bottom