Patachimbikaaaaaa!!!!

Kweli mkuu kumshawishi mtu mzima mpaka anakubali ujue umefanya kazi kubwa,akikupenda kazi huwa rahisi ila kama hajakupenda lol! ila usikate tamaa,wenzako tunamsubiria baba mkwe ili ajulikane staring nani anatakaye utwaa moyo wa binti yake 'valentina'

No will separate me and my wife hata mtumie waganga wa kichina
 
Kwa jinsi nilivyoona jamaa ameshamwagwa tayari! Ila inatafutwa njia ya kumfukishia ujumbe, kazi kwako sasa, Mtoto leo usilale nae home, kalale nae hotel pembeni na beach ili feelings zake zirudi kawaida.
Ngoja tumsubiri maana saa tisa ndo hii
 
No will separate me and my wife hata mtumie waganga wa kichina
Hapa hakuna dawa wala nini ni mapenzi tu mtoto ndo uamuzi wa mwisho tusipigane vikumbo maana saa tisa ndo hii
weee 'valentina' njoo bwana uamue huku
 
No will separate me and my wife hata mtumie waganga wa kichina

Naomba sababu 8 hizo siku tatu ulikua wapi? na ulikua na nan? na kwanini ulikua unanikatia cm? Na uliondokaje bila kuhakikisha friji imejaa wala kuniachia hela ya matumizi?? Can u explain this 2 me
 
Naomba sababu 8 hizo siku tatu ulikua wapi? na ulikua na nan? na kwanini ulikua unanikatia cm? Na uliondokaje bila kuhakikisha friji imejaa wala kuniachia hela ya matumizi?? Can u explain this 2 me

sweetyheart ile siku moja niliyotoka south, nilikuwa moshi nikafanya mpango wa kupanda mlima, nilikaa huko siku 3 ile ya nne nikashuka, afu sasa
simu sikuweza kuitumia sana
tulikuwa na kikundi cha watu
siwezi kuwataja wote
ila erick kelvin vivian ni miongoni mwa ninaowakumbuka.
swala kuacha friji bila vinywaji, nilijua hujamaliza dozi
afu nilikuwekea pesa pia kupitia simbanking hukuona kwani?
nakuja saa kumi na moja tuongee zaidi mpenzi wangu hebu
achana na hawa kina daudi na rich wanaokushauri uongo juu yangu.

ni wajanja sana wanataka wakulale waachane na wewe,
huwa wanasikia jinsi ninanvyokusifiaga kuwa wewe ni mtamu kuliko mwanamke mwingine yoyote yule.
so wanachotaka kwako ni huo utamu wako tu!

achana nao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…