Patachimbikaaaaaa!!!!

walah! mi hata sio mchokozi bana!

happy valentine shem! vp Arushaone alichunjia hata kakondoo unywe supu??

huyu jamaa najua ni bahili sana!!! namjua sana a1!

bahili kwa wengine ila sio kwangu shem
alinichinjia ng'ombe mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Du sasa huyu bint si anafaa kuolewa kwanini wanafanya hivyo? Kama field halafu kazi kwingine haiwezekani nitamfuata kesho nimshauri.
Mimi nimeshamuambia akikubali leo basi kesho naenda kutoa posa nasubiri uamuzi wake tu hapa!
 
'Valentina' ni muda sasa wa kusikiliza moyo wako umeamua nini maana ukasema saa tisa naona imepita bila kusema chochote umetuacha tukipigana vikumbo huku wakati rungu umeshika wewe toa ya moyoni mama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…