Pata viatu vya mtumba grade one.

Pata viatu vya mtumba grade one.

Mumylicious tapel looh mbon kanyuti vibaya hivyo Mumylicious wenzako wajitutumue wewe upate mteremko loooh hata Mungu hapendi aibu yako
 
Maisha kweli yamebana . Mpaka warembo humu ndani wameanza utapeli!?
 
Mkuu naitaji cha 9 katika picha

2ff9fea11440d1eac474a089229257e4.jpg


Mkuu unamaanisha hiki kwny picha? Kama ndio hicho kimeshauzwa tayari. Ila tembelea page yetu Instagram bigdeal_mtumba_shoes unaweza kuona kingine kinachofaa Na jumanne kesho kutwa tunaweka mzigo mwingine, Asante
 
Nataka cha 3 na 9

115adcd0c2e3a97f56b5ef44c1cd0d8a.jpg


Hicho cha 3 kimeuzwa tayari Na cha 9 pia kimeuzwa pia. Tembelea page yetu Instagram ya bigdeal_mtumba_shoes kuna viatu vingine. Tupo bamaga chuo cha Ustawi wa Jamii
 
wewe na huyo alieanzisha uzi lenu moja..Na ndo strategy ulobuni ya kujitangaza..[/
Yani mie nitoe angalizo Na niweke uthibitisho wangu bado una uhukumu.? Ya nini Sasa nilisema hapo mwanzo? Otherwise mtumie hela huyo mtu halafu uone. Mie nimetaja physical address yangu unataka Njoo ofisini utapata bidhaa tofauti Na hapo utaongea kwasababu unataka kuongea Na siwezi kukuzuia
 
Yani mie nitoe angalizo Na niweke uthibitisho wangu bado una uhukumu.? Ya nini Sasa nilisema hapo mwanzo? Otherwise mtumie hela huyo mtu halafu uone. Mie nimetaja physical address yangu unataka Njoo ofisini utapata bidhaa tofauti Na hapo utaongea kwasababu unataka kuongea Na siwezi kukuzuia[/QUOTE]
 
Hujui ata jinsi ya kuandika tangazo la biashara
 
115adcd0c2e3a97f56b5ef44c1cd0d8a.jpg


Hicho cha 3 kimeuzwa tayari Na cha 9 pia kimeuzwa pia. Tembelea page yetu Instagram ya bigdeal_mtumba_shoes kuna viatu vingine. Tupo bamaga chuo cha Ustawi wa Jamii
SEBAGO ZIPO?? BEI GANI SIZE 42_44
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom