Pata umeme wa bure na uhakika kwa kutengeneza generator yako ya Tesla... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata umeme wa bure na uhakika kwa kutengeneza generator yako ya Tesla...

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Bantugbro, Jan 2, 2011.

 1. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Kwa kuwa hivi sasa tuko katika wakati mgumu katika historia ya Danganyika kwenye suala la kupata umeme wa uhakika na ukizingatia tena bado tunatakiwa kuchangishwa zaidi (kupitia ongezeko la bei ya umeme!!) ili kuwalipa mafisadi wa Dowans a.k.a Ndowano.

  Nimeona ni wakati muafaka wa ku-share nanyi namna ya kujitengenezea umeme wetu wa uhakika na bure hapo nyumbani na hata pia kuwauzia TANESCO kwa kutumia teknolojia (sio solar au upepo) ya sumaku.

  Teknolojia hii ilivumbuliwa na bwana Nikolai Tesla miaka mingi sana iliypita lakini ilifichwa chini ya makabrasha na wakuu kutokana na ubinafsi wao. Gharama ni kununua kitabu pamoja na vifaa kwa ajili ya kuijenga hiyo generator yako ya sumaku.

  Kwa maelezo zaidi soma hizo links hapa chini:

  Tesla generator - Learn how to build your own Tesla Generator!

  Nikola Tesla Secret - Exposing Tesla's "FREE Energy" Device

  TESLA free energy generator

  BTW
  Nitajitahidi kukiweka hicho kitabu hapa muda si mrefu...
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Asante mpwa! tutawakomoa TAA-NESI-KOO, yaani sitawalipa hhata senti
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mh hii kali tanesco wakiona
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  If its too good to be true, it is... THERE IS NO SUCH THING AS FREE.....
   
 5. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  VoiceOfReason na Bantugbro nani mkweli ? Sijui "Invincible" ili analiangalia vipi,la kupost issue ktk sehemu hisiyo husika .Kama kati ya hawa wawili niliowataja mwanzo mmojawapo anatania(jokes). Aombe msamaha na a'cut' hiyo thread yake na kui'paste' sehemu ya jokes. Sehemu hii (Technology), ninavyojua, tunakuja kutafuta suluhisho la matatizo ya kiteknolojia si vinginevyo.
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Unajua kuna kitu ambacho kimekuwepo miaka mingi sana watu wanauza product ambayo sio kama ambavyo wanasema inafanya. Hakuna kitu kama free energy, this goes against the laws of physics. Energy can not be created nor destroyed but converted from one form to another

  Kuna watu wengi wamekuja na ideas za mashine lakini hata hizo zinaongeza efficiency tu sio kutengeneza free energy. Sio hii Tesla tu kuna kitu kinaitwa Perpetual Machines, watu karne hadi karne wamekuwa wakiumiza vichwa jinsi ya kutengeneza mashine ambayo ikiwashwa itajiendesha bila kuongezea energy lakini mpaka leo hakuna aliyefanikiwa na kama tunaamini physics basi hakuna atakayefanikiwa.
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hakuna mkweli wala muongo hapo

  Ukisoma artcle ya bantugbro nimegudnua kuwa ni kutokanana matatizo watu wanakuwa nayo na ideas za kutatua matatatizo fulani zinawajia. So hiyo Genrator ya TESLA ilikuwa ni idea tu.

  Baada ya kusoma link alizoweka VOR nimeona Idea ile ni ngumu kuwa achived practically. kama inawezekana basi sio at free or cheper cost.

  Vile Vile Kitabu cha kuntengeza generator ya TESLA kinatumia problem ya uememe kujaribu kuuza kitabu na sio kuuza solution. kwa hiyo katik mazigira ya Tanzania kitabu kinaweza kuuuza sana lakini hakuna sotion itakayopatikana.

  So bado naona hoja zote ni sahihi kwa kutoa changamoto.
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo ndugu zangu hata ukifanikiwa itakuwa unasave...... sio kupata bure..... Itabidi kuwa na Input = output plus energy losses kwahiyo kwa kupunguza energy losses tutakuwa tunaongeza efficiency tu. I repeat there is no such thing as a free Lunch
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  @ Mtazamaji
  Well said Mkuu
   
 10. J

  Joshzub New Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka uliahidi kukiiweka hcho kitabu,huoni ni muda muafaka kukiweka ili nasi tufaidi.
   
Loading...