Una huawei y3-2?hapana sina mkuu..
Wait nijipange na hiyo iPhonehapana sina mkuu..
bado ipo good na risiti nnayo na je gharama ni sh ngapi? ili nije ofisinHuwa sifanyi hivyo, Huwa nabadilisha tu kwa wale ambao simu yao ya kwanza walichukua kwangu, mfano km hiyo c8 ungekuwa ulichukua kwng kukubadilishia inawezekana...maana cm nyingne unakuta zinamatatzo au huwez jua zimetoka wpi...rabda tu naweza kukupa msaada, mara moja tu..ila make sure una risit ya hiyo cm yako, pia iwe bado kwenye best condition, pia imei namba yake iwe haijabadilishwa. hapo naweza kukusaidia kubadilishia.
Mkuu phantom 6plus bei gani?nichek 0655776976
Mkuu haipungui kdg????280 nitakupa kiongozi
Update first post ionyeshe beiUnachosema kweli kaka..ila bei ya simu nying humu nishazipost...angalia tu post zangu za hiv karibuni mkuu
Bei gani