Pata Simu kali ya kisasa kwa bei pouwa kabsa

Pata Simu kali ya kisasa kwa bei pouwa kabsa

Jana tumeongea, ila haukuwa kwa office, nimemtuma jamaa yangu aijie lg g five
nimekupata kiongozi hii hapa
1478804051896.jpg
1478804059623.jpg
1478804086136.jpg
 
mkuu wakati mwingine nakua mbali na cm...ila sorry sana mkuu, km unakuta simu ipo busy au sijapokea niachie tu ujumbe mfupi au hata whatsapp...nitakuchek boss
Simu yako haipatikani?
 
Simu yako haipatikani?
Asante sana mkuu [emoji106] kwa kuamua kuniamin na kuwa mteja wngu, jamaa yako ameshaipokea simu yake LG G5, enjoy mkuu hiyo ni smartphone ya kibabe saana, ...incase of anything usisite kunichek kwa # yng: 0654776976 au hata email yang: vieloo@gmail.com
karibu tena!!
 
Asante kionngoz, Leo tuliongeaa kuhusu iPhone five s, najipanga tufanye business.

Unayo Asus ZenFone 3 256gb ?
 
Nitafutie simu aina ya Turing Cadenza. Ni pm ukiipata na bei nikujaze mahela
 
nna tecno c8 nataka kubadilisha na j8 kuna uwezekano?
Huwa sifanyi hivyo, Huwa nabadilisha tu kwa wale ambao simu yao ya kwanza walichukua kwangu, mfano km hiyo c8 ungekuwa ulichukua kwng kukubadilishia inawezekana...maana cm nyingne unakuta zinamatatzo au huwez jua zimetoka wpi...rabda tu naweza kukupa msaada, mara moja tu..ila make sure una risit ya hiyo cm yako, pia iwe bado kwenye best condition, pia imei namba yake iwe haijabadilishwa. hapo naweza kukusaidia kubadilishia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom