Mkuu mie sie mjuaji sana wa simu, ila naamini unaweza kunipendekezea.....otherwise mkuu niuzie hiyo C9 kwa 240,000Duh...we unaplendelea brand ipi chief? Maana zipo nying japo uwezo wake ni wa kati
Unayo Samsung E5 mpya boss na bei yake ikoje?A9 ipo ya 2016, nauza 1.3mil
Mkuu Galaxy A9 plus unayo, na ntapata kwa bei ganiSmartphones za kisasa kwa bei pouwa bado zinapatikana kwangu mzee wa kuvunja bei.
Bei zangu ni pouwa mpaka utafurahi, Kwa maelezo zaidi nipigie, nitext au ni whatsapp kupituia # 0654776976.
vieloon@gmail.com
Pia unaweza kufika dukani kwetu kariakoo karibu na mataa ya uhuru au nipigie simu na utaletewa simu unayohitaji popote ulipo kwa hapa Dar ikiwa mpyaa na kila kitu chake, kwa wale wa mikoani..tunawaagizia kwa njia ya Bus na atapokea mzigo wake bila usumbufu wowote.
[HASHTAG]#Uaminifu[/HASHTAG] kwangu ndio nguzo ya mafanikio#
Mfn.
View attachment 404912View attachment 404913View attachment 404914View attachment 404915View attachment 404916View attachment 404917View attachment 404918View attachment 404919View attachment 404920View attachment 404921View attachment 404922View attachment 404923View attachment 404924View attachment 404925View attachment 404928View attachment 404929View attachment 404932View attachment 404933View attachment 404935