jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,991
- 4,361
Usichoke kurudia mkuu, ck zote kuambatanisha bei hushawishi sana
Hii ndio akili ya biashara ambayo wafanyabiashara wengi hawana.
Weka bei mteja aamue mwenyewe.
Usichoke kurudia mkuu, ck zote kuambatanisha bei hushawishi sana
Mkuu kua serious bana...kweli mteja aanze kutafuta post zako zenye bei? Noooo weka bei nw mm sina mda wa kuanza kufatilia post zako asee....kama uko kibiashara weka bei apo....Unachosema kweli kaka..ila bei ya simu nying humu nishazipost...angalia tu post zangu za hiv karibuni mkuu
Mkuu una lg 3 na sony z2 kama zipo bei zake zipoje?800k tu