Pata ramani ya banda la kuku kuanzia 100-1000

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
646
1,174
Wiki mbili zilizopita niliweka tangazo la kuuza banda la kuku 400 na kwa haraka wanaojua nini maana ya ufugaji walichukua siku ya pili baada ya kupendezewa nalo.

Na wadau wengi walinipigia simu kulihitaji lakini bahati mbaya wakawa wamechelewa... Na wengi wakaniomba niwape ramani na nikaona siyo mbaya nikawacholea kwa bei ndogo wakachukua na wengine bado nawachorea.. Nawachorea kulingana na idadi ya kuku unaofuga kuanzia kuku 100 mpaka 1000.

MAELEZO YA BANDA
banda la urefu mita 9 na upana mita 1 na kimo mita 3.5 ambalo linakua na golofa 4 juu linachukua kuku 400 wa nyama au 200 wa mayai
Kuku wanapokunya kinyesi kinaanguka eneo maalumu ambapo hawawezi kukanyaga kinyesi wala kukidokoa.
Na kwakua banda ni la golofa 4 juu muundo wake kuku wa juu wakinya kinyesi hakiwezi dondokea kuku golofa za chini,,
Banda linachukua eneo dogo sana hata kama umepanga unafuga bila wasiwasi maana mita 9 kwa mita 1 ni sehemu ndogo Ila inachukua kuku 400
Ila inategemea udogo au ukubwa gani wa banda utahitaji.
Gharama ya kutenengeneza aina hii ya mabanda ni nusu ya yale mabanda ya Madukani lakini kikubwa zaidi pamoja na kutengenezea nusu Gharama pia linabeba kuku mara 2 ya banda la dukani.
Namaanisha ukitaka banda la dukani la kuku 400 inabidi utumie kama milion 6 ambapo banda hili ambapo kulijenga halimalizi M1.5

Kiujumla maelezo yake ni mengi kitaalamu na kama ukihitaji maelezo zaidi unaweza nipigia simu
Ufugaji ni utalaamu tuu si lazima uwe na eneo kuubwa

Sasa uko huru kama unahitaji ramani ntakuchorea maana imebidi niwashirikishe haya mambo ya ujasiliamali ni kuinuana na kusaidiana

Ntawawekea mfano wa banda lililokua nauza Ila lilishachukuliwa

NB: MIMI SITENGENEZI BANDA ILI UNUNUE ILA MIMI NTAKUCHOREA RAMANI ILI UMPE FUNDI AKUTENGENEZEE MAANA LINAKUA LIKO KITALAAMU.

Namba 0621047159

+255 769 463 570 20160308_155959.jpg
 
Mkuu nataka kujenga la kudumu nyumbani kwangu kifuru inawezekana yani la matofari
 
Hilo unajenga tuu hata bila kutumia ramani maalumu maana ni jengo ambalo halihitaji ubunifu zaidi

Labda kama Unataka la kutumia mbao ambalo linadumu pia kwa muda mrefu tuu ndo unaweza jenga kwa golofa Ila kama ni kwa kutumia tofali halafu Unataka ya golofa kama hiyo picha basi jua utatumia eneo kuubwa na gharama kubwa maana lazima ulinganishe thicknes ya tofali na mbao ipi ni ndogo hapo ndo utanielewa Namaanisha nini na ili utengeneze golofa basi jua kila slub ya golofa ya jengo la tofali inakupa gharama kidogo japo ni banda.
 
Wiki mbili zilizopita niliweka tangazo la kuuza banda la kuku 400 na kwa haraka wanaojua nini maana ya ufugaji walichukua siku ya pili baada ya kupendezewa nalo.

Na wadau wengi walinipigia simu kulihitaji lakini bahati mbaya wakawa wamechelewa... Na wengi wakaniomba niwape ramani na nikaona siyo mbaya nikawacholea kwa bei ndogo wakachukua na wengine bado nawachorea.. Nawachorea kulingana na idadi ya kuku unaofuga kuanzia kuku 100 mpaka 1000.

MAELEZO YA BANDA
banda la urefu mita 9 na upana mita 1 na kimo mita 3.5 ambalo linakua na golofa 4 juu linachukua kuku 400 wa nyama au 200 wa mayai
Kuku wanapokunya kinyesi kinaanguka eneo maalumu ambapo hawawezi kukanyaga kinyesi wala kukidokoa.
Na kwakua banda ni la golofa 4 juu muundo wake kuku wa juu wakinya kinyesi hakiwezi dondokea kuku golofa za chini,,
Banda linachukua eneo dogo sana hata kama umepanga unafuga bila wasiwasi maana mita 9 kwa mita 1 ni sehemu ndogo Ila inachukua kuku 400
Ila inategemea udogo au ukubwa gani wa banda utahitaji.
Gharama ya kutenengeneza aina hii ya mabanda ni nusu ya yale mabanda ya Madukani lakini kikubwa zaidi pamoja na kutengenezea nusu Gharama pia linabeba kuku mara 2 ya banda la dukani.
Namaanisha ukitaka banda la dukani la kuku 400 inabidi utumie kama milion 6 ambapo banda hili ambapo kulijenga halimalizi M1.5

Kiujumla maelezo yake ni mengi kitaalamu na kama ukihitaji maelezo zaidi unaweza nipigia simu
Ufugaji ni utalaamu tuu si lazima uwe na eneo kuubwa

Sasa uko huru kama unahitaji ramani ntakuchorea maana imebidi niwashirikishe haya mambo ya ujasiliamali ni kuinuana na kusaidiana

Ntawawekea mfano wa banda lililokua nauza Ila lilishachukuliwa

NB: MIMI SITENGENEZI BANDA ILI UNUNUE ILA MIMI NTAKUCHOREA RAMANI ILI UMPE FUNDI AKUTENGENEZEE MAANA LINAKUA LIKO KITALAAMU.

Namba 0759501127

Mkuu kama kweli unawapenda Watanzania wenzako usingewacharge kwaajili ya mabanda ya kuku,vipato vya wafugaji wengi hapa nchini ni vidogo sana ndio maana wanajihusisha na ufugaji ili kuongeza kipato,kwa kuwasaidia wote waliopo humu JF ingekuwa ni busara na baraka kwako kuwawekea hizo ramani hapa.(kwa kuku 100,1000,2000,n.k kulingana na uwezo wako.
 
Asante subiri maombi jumapili unapata
 
Endelea kifuga kwa gharama nafuu,,bado Kuna ramani za kutosha kukuwezesha kifuga kwa gharama nafuu
 
Changamoto ya hilo Banda Ni jinsi ya kuweka maji na chakula na ikitokea kuku kafia kule ndani unamtoaje ?
 
Back
Top Bottom