Tunatengeneza mabanda ya kuku

Mnazi kuyumba

New Member
Jun 7, 2013
4
37
MABANDA YA KUKU YA KISASA

Kazi Ya Kutengenezea Mabanda Ya Kuku Inaendelea Hapa Ofisini Kwetu Mbezi Ya Kimara (Karibu na Stendi Ya Magufuli)

Bei za Mabanda; (Ufundi na Mateials) Wewe unakuja Kuchukua Banda likiwa Limekamilika.

Banda la Kuku 50 ni Tsh 200k
Banda ka Kuku 70 ni Tsh 250k
Banda la Kuku 100 ni Tsh 300k

Mabanda Yetu Yana Mfumo Rahisi Wa Kusafisha,Yana Ghorofa (Tunaweka Ngazi kwa Ndani Kuku ana uwezo wa Kupanda Juu na Kushuka kwa Urahisi), Yana Sehemu Maalum Za Kutagia,Yana Hamishika.

Tuna Mabanda Yaliyo Tayari,Mengine Tunatengeneza kwa Order,Pia ukitaka Tuje Kutengenezea Kwako Tunafanya Pia,Mikoani na Nje Ya Nchi Tunawafikia Pia.

Elimu Ya Ufugaji Tunaitoa Bureeee baada ya Kununua Banda.

Tupigie Sasa Kwa 0762 212623.

#RichFarmerFantasticFurniture
#MabandaYaKuku #kukuwakienyeji
#kukuchotara
IMG-20220508-WA0031.jpg
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom