Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 733
Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar, ni wadau wa ujenzi wa kisasa, tuna kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ujenzi za kisasa na Tunahitaji mafundi ujenzi, kuanzia wa kiwandani kwenye uzalishaji mpaka kwenye ufundi wenyewe. Tuinahitaji mafundi wa viwango tofauti, kuanzia wanaohitaji kujifundisha ujenzi mpaka wale wazoefu wa kusimamia kazi. Tupo very strict kwa ubora. Kama unapenda kufanya kazi na watu wenye kujali ubora wa kazi za ufundi, nidhamu za kazi za ufundi na mwenye kujali miiko ya kazi za ufundi na sio uwingi wa kazi basi wasiliana nasi.Pia tuna mafundi wenye weledi na walio bobea katika maswala ya ujenzi wa nyumba yako
View attachment 2025948
Siraji hii ramani Bei gani?
Contemporary (non-roofing)gorofa moja View attachment 1855310View attachment 1855311View attachment 1855312
Chora nasi Sasa kwa gharama nafuu kabisa
Piga 0689993661
Email sirajimsilanga55@gmail.comView attachment 2151777
Hii ina vyumba vitatu mkuu
Kimoja master bedroom
Na viwili vya kawaida vyenye vyoo ndan
Karibu sana mkuu
Hii ni million 45 mkuu karibu sana ramani yake 350,000 michoro yote minne pamoja na muhuri wa architecture na kibali Cha ujenzi
Nimeipenda hiiChora nasi kwa gharama nafuu sasa
View attachment 1879676
Mkuu nauza eneo langu huko Mwanza nisaidie kutafuta mteja. Eneo lipo Kirumba karibu na UWANJA WA FURAHISHA au villa park. Contact zangu ni hizi 0784 471 079Chora nasi kwa gharama nafuu
Piga 0689993661
0766195115
0673195114
Email: sirajimsilanga55@gmail.comView attachment 2136432
Mkuu! nimekubali kazi yako ,nikiwa tayari tutayajengaChora nasi sasa kwa gharama nafuu kabisa
View attachment 2190714
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unafanya biashara ya ramani au ujenzi wa nyumba?Kaka kwenye swala la ramani kila ramani ina bei yake inategemea unahitaji ramani ya namna gani kuna ramani za shule,hostel,apartments, hotel,residential house karibu sana mkuu ni maelewano tuu
Kwa Dar ofisi yenu ipo wapi?
Kwenye picha hizi, hiyo ya katikati (ya pili toka juu), wastani wa gharama yake kwa sasa ni ngapi?Contemporary (non-roofing)gorofa moja View attachment 1855310View attachment 1855311View attachment 1855312
Unaweza kutolea maelezo kidogo kuhusu ramani ya haka kamjengo? Vyumba vingapi, 😃ublic toilet ngapi, nk.Chora nasi sasa kwa gharama nafuu kabisa
View attachment 2292623
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii ndo anajenga Maheboob ?Modern hotel from capripoint mwanza
Piga 0678195114 kwa ramani nzuri na gharama nafuuView attachment 1855328View attachment 1855329View attachment 1855331