Pata picha eti hawa ndo wabeba maono wa Serikali ya Tanzania

Pata picha eti hawa ndo wabeba maono wa Serikali ya Tanzania

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
GT
Sina ugomvi na watu wa Pwani lakini ni watu wavivu sana. Na serikali ikijaza watu wa aina kwenye uongozi usitegemee chochote cha maana kitafanyika..

Mfano.
1. Mchengerwa
2. RITZ
3..Awesu
4.Jafo
5. Ulega
Etc


Nchi hii ili iweze kusonga mbele upstairs wanatakiwa wawepo.
1. Wachaga
2. Wahaya
3. Wanyakyusa
4. Wasukuma
5. Watu wa Mara
6. Watu kutoka iringa
7. Watu kutoka Mkoa wa Ruvuma.

Hawa watu nawaamini 100%.kwa uchapa kazi
 
GT
Sina ugomvi na watu wa Pwani lakini ni watu wavivu sana. Na serikali ikijaza watu wa aina kwenye uongozi usitegemee chochote cha maana kitafanyika..

Mfano.
1. Mchengerwa
2. RITZ
3..Awesu
4.Jafo
5. Ulega
Etc
View attachment 3528920
Sioni shida kwao tatizo ni mfumo weru ulivyo hata kama ni Tanzania 1 ukiingia humo unakuwa baridi kabisa..
Huyu waziri weru wa vijana sasa si Tanzania one na kabla si alikuwa ni motivation speaker mzuri sana sasa ameingia humo yupo kama wengine huwezi kumtofautisha na kina riz 1.

Mifumo yetu ndio janga la nchi hii..
 
Ukiona tu hayo majina, tayari unajua tushapigwa.
Nchi ishapoteza mwelekeo hakuna maono.
 
Shida siyo majina, au maeneo watokayo baadhi ya watu! Shida kubwa ipo kwenye mifumo yetu mibovu ya kuendesha nchi! Uwajibikaji ni mdogo sana!

Katiba ya 1977 ni mbovu mpaka inakera. Imempa mamlaka makubwa Rais wa nchi! Ipo kwa ajili ya kulinda maslahi ya ccm, badala ya maslahi ya nchi na watu wake, nk.
 
Back
Top Bottom