nyumba nyakato national nikubwa ina vyumba 7 master 1 iko sehemu nzuri karibu na barabara yakwenda buswelu maji,umeme na hati vipo. inahitajika mil120 tu.
kwa picha za nyumba hii nitumie ujumbe whatsapp nikutumie picha za kutosha.+255767791405.KARIBUN wadau
NYUMBA.
iko NYAMHONGOLO ina vyumba 3(master1+self2),sebule+jiko iko kwenye finishing ya floor imeshaezekwa maji yamo umeme pia umefika(ingiwa haujaingizwa kwenye nyumba).
mtindo wa nyumba ni wa kisasa.
kiwwnja ni25×40.
bei mil45tu.
KARIBUNI WOTE
VIWANJA 2
viko KIBANDANI(mbele ya airport.Moja linaelekea ziwan kabisa ambalo hata beach ya ziwa imo.ukubwa wake ni 70×140. umeme umefika maji ya bomba bado ila ya ziwa yamejaa mil 95
Cha pil ni 140×100 kiko karibu na mwalo wa Kibandan bei mil 150.
Bei zote maelewano yapo.
KARIBUNI
HIV VINAPATIKANA KWETU WEWE WASILIANA NASI TU UKIWA MWANZA.
1.Nyumba(kuuza/kununua)
2.viwanja(kuuza au kununua)
3.Raman za nyumba aina zote.
KARIBUNI WOTE
WORKSHOP INAUZWA.
inafanya kazi mpaka sasa ina mashine 3 za kuranda na kukereza mbao full.iko Nyakato national maeneo ya viwanda vya mbao(mnadani).Bei mil15
KARIBUNI WOTE
WORKSHOP INAUZWA.
inafanya kazi mpaka sasa ina mashine 3 za
kuranda na kukereza mbao full.iko Nyakato
national maeneo ya viwanda vya mbao
(mnadani).Bei mil15
KARIBUNI WOTE
KIWANJA
kipo Malimbe karibu na chuo cha SAUT.kipo karibu
na mnara wa Masha. kimezungukwa na hostel za
SAUT.
ukubwa hekari 2.
umeme na maji yapo.bei mil70 maelewano yapo.
KARIBUNI SANA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.