Pata nyumba na viwanja jijini Mwanza

Pata nyumba na viwanja jijini Mwanza

Kiwanja maeneo ya Mkolani au Buhongwa kinahitajika faster...
 
kiwanja nyegezi karibu na stend 30x30 bei maelewano.
 
kiwanja nyegezi karibu na stend 30x30 bei
maelewano.
 
usiku mwema wana jf.
nyumba na viwanja vipo mwenye kuhitaji tuwasiliane
 
VIWANJA.
MKOLANI
USAGARA
BUHONGWA
NYEGEZI.
40X60 Buhongwa mil6.
30x40 usagara mil6.
30x30 nyegez ml 7.
KARIBUN
 
kwa viwanja na nyumba maeneo ya Usagara mwanza vinapatikana.
 
BUY/RENT LAND &
HOUSE/APARTMENT IN
ARUSHA,TANZANIA.

Welcome and consult us,

For any enqueries please
reach us through:
Moshono Bus Stand,
House,Plot 93
Nelson Mandela Road P.O. Box3528,
Arusha, Tanzania

EMAIL:
baragetihezron@gmail.com

PHONE:
+255767287941

COMPANY NAME:
Dalali-Arusha Real estate
and marketing
properties
 
Nyumba inauzwa Usagara ina vyumba viwili+jiko+sebule kubwa.
chumba kimoja ni self. Iko karibu na barabara ya mtaa umeme umefika.
bei maelewano.
cont. 0767791405/0789998398
 
Natafuta kiwanja kikubwa
zaidi ya ekari sita
kisiwe mbali sana na mjini
unacho?bei?
 
kwa wanaohitaji mashamba nje kidogo ya mji less than 40 km kutoka Mwanza city center tuwasiliane
 
nadhan nami umeona bro kazi iendelee
 
Mkuu yule jamaa yangu naona hakufika offer ya bei ya kununulia ile sehemu malimbe hapo
Lakini alikuwa na nia na dhati ngoja tuone kama ataongeza hela lbda.
Maana hapo target yake ilikuwa kujenga hostels maana chuo cha saut kiko karibu dah.
Jamaa yangu alisikitika kulikosa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom