NGARUKA
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 401
- 70
Kama unahitaji nyumba, viwanja, magari, vyumba, frem za maduka, nyumba za stoo n.k. ndani ya jiji la Mwanza wasiliana nasi kwa
Kwa sasa tuna:
1.Nyumba yenye vyumba vinne 4, master 2, vya kawaida 2, choo ya public, jiko, dinning room, sitting room, jiko na stoo vya nje. Nyumba ya nje yenye chumba na sebule. Uzio km5 toka barabara ya Mwanza- Dar au Buhongwa Mjini. Iko Buhongwa mtaa wa Bulale. Maji yamefika, umeme uko karibu sana.
2.Nyumba Kilimahewa. Ina maji na umeme, vyumba vi2 na trip ya mawe.
3.Kiwanja kiko Buswelu Wilayani na boma ndani yake la vyumba vi4.
4.Kiwanja 45 kwa 50. Kiko Kilimahewa.
5.Gari Toyota MarkII model ya 1995.
MAWASILIANO.