Pata nyumba na viwanja jijini Mwanza

Pata nyumba na viwanja jijini Mwanza

:
Viwanja Kiseke
45x25 mil 9.
38x30 mil 6 umeme na maji yamefika.
KARIBUNI.
0767791405/0789998398
 
Viwanja Kiseke
45x25 mil 9.
38x30 mil 6 umeme na maji yamefika.
KARIBUNI.
0767791405/0789998398
 
Kama unahitaji nyumba, viwanja, magari, vyumba, frem za maduka, nyumba za stoo n.k. ndani ya jiji la Mwanza wasiliana nasi kwa 0767791405/ 0789998398.

Kwa sasa tuna:
1.Nyumba yenye vyumba vinne 4, master 2, vya kawaida 2, choo ya public, jiko, dinning room, sitting room, jiko na stoo vya nje. Nyumba ya nje yenye chumba na sebule. Uzio km5 toka barabara ya Mwanza- Dar au Buhongwa Mjini. Iko Buhongwa mtaa wa Bulale. Maji yamefika, umeme uko karibu sana.

2.Nyumba Kilimahewa. Ina maji na umeme, vyumba vi2 na trip ya mawe.

3.Kiwanja kiko Buswelu Wilayani na boma ndani yake la vyumba vi4.

4.Kiwanja 45 kwa 50. Kiko Kilimahewa.

5.Gari Toyota MarkII model ya 1995.

MAWASILIANO.

0767791405/0789998398. +255767791405 ipo pia WHATSAPP amabapo ni njia rahis kukutumia PICHA.
KARIBUNI WOTE

Hongera

Nitcheki kwa email info at grabcityinfo dot com

Kuna kazi nataka tufanye pamoja

Cheki Instagram grabcityinfo upate high level view ya vitu tunavyofanya, real estate ni moja wapo.


Pamoja
 
Kwa chin mkuu mita chache kutoka tema hotel
 
Nitafutie chumba na sebule self ila iwe kubwa isiwe mbali na barabara kuna jamaa yangu anataka,km kitakua ndani ya fensi itakua nzuri,maeneo kuanzia tema hotel mpaka buhongwa ila isiwe mkolani nyahingi,isizidi 1.2m kwa mwaka.
 
NYUMBA.+KIWANJA.
viko Nyegezi mtaa wa Nyamazobe. nyumba ni ya kawaida vyumba 3 na sebule.
kiwanja chake ni 30x50.
Maji yalikuwapo yakakatwa,umeme hajaingiza,nguzo ya umemr imo kwenye kiwanja.
Barabara inafika.
Fensi mbili za pembeni zimeshajengwa(kiwanja kiko katikati yawaliojenga tayari).
Bei mil.35.
KARIBUNI SANA.
 
SHAMBA/KIWANJA.
Viko Usagara ukitoka Mizan unaelekea barabara inayoenda Kisesa umbali kidogo.
Ni hekari 3.
Bei mil.30 tu.
 
Nyumba inauzwa Usagara ina vyumba viwili+jiko
+sebule kubwa.
chumba kimoja ni self. Iko karibu na barabara ya
mtaa umeme umefika.
bei maelewano.
cont. 0767791405/078999839
 
NYUMBA.
iko Nyegezi barabara ya kwenda Majengo Mapya.
iko Karibu na MESSA English medium.
ina maji na Umeme.
ina vyumba vi3 na sebule.
ina master moja.
kuna na msingi wa vyumba vi3.
ukubwa wa kiwanja ni 40x50.
iko karibu na Nyegezi stendi kama km1 tu.
kiwanja chake kinapakana na barabara kuu ya kutoka Nyegezi stend kwenda Majengo Mapya.
Mpaka sasa nyumba yote imejaa wapangaji mwenye nyumba yuko kwingine.
bei ni mil.120.
KARIBUNI SANA
 
NYUMBA.
iko Nyegezi karibu na Stendi ni ya kisasa.
vyumba vi4 master1 sebule,start 1.
ina uzio na parking nzuri.
maji na umeme vipo.
bei mil 150
KARIBUNI
 
KIWANJA.
kiko Nyegezi Majengo mapya njia ya kuelekea kwa meya.
ukubwa 15x30.
kimepimwa.
bei mil.15.
KARIBUNI WOTE
 
yaaah.
yan ukitoka hapo kwa babi ni juu kidogo hyohyo barabara ya kuelekea kwa Meya.
KARIBU kaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom