KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 233
kaka yako napita.
kuna nyumba mbili nyegez zimepatikana.
moja vyumba vi3 chumba na sebule×2 na master moja.
na choo cha nje.
bajet mil3.
nyingine vyumba3 na sebule choo cha nje mil1.8.
zote ziko Nyegez karibu na Jesh.
KARIBU
hyo ya 1.8 m ipo maeneo gani mkuu nikutafute,jesh upande gani au wahekima