Pata nyumba na viwanja jijini Mwanza

Pata nyumba na viwanja jijini Mwanza

15x30 mil5-7
25x30 mil7-10 inategemea na location ya kiwanja
 
VIWANJA NYASAKA kwa bei nafuu.

Kiwanja kiko Buswelu Wilayani na boma ndani
yake la vyumba vi4 mil.20
 
Nyumba inauzwa Usagara ina vyumba viwili+jiko
+sebule kubwa.
chumba kimoja ni self. Iko karibu na barabara ya
mtaa umeme umefika.
bei maelewano.
cont. 0767791405/078999839
 
Nyumba inauzwa Nyakato National.
ina vyumba 4 vya ndan master 1 na vya kawaida
v3.dinning room na sitting room.
ina vyumba vi3 vya nje na bafu na choo cha nje.
iko karibu na s/m gedeli pia karibu na barabara ya
Buswelu-mjin. ina HATI,UMEME na MAJI
bei yake ni 200mil. maelewano yapo.nashindwa
kuapload picture.ukiwa interested nitumie sms
namba yangu ya wahatsapp ni +255767791405.
MAWASILIANO. 0767791405/0789998398.
KARIBUNI WOTE
 
kiwanja nyegezi 25x30 karibu na stend mil25. karibun
 
Nyumba inauzwa Usagara ina vyumba viwili+jiko
+sebule kubwa.
chumba kimoja ni self. Iko karibu na barabara ya
mtaa umeme umefika.
bei maelewano.
cont. 0767791405/0789998398
 
Ni kweli mdau makin pia inategemea ni nyegezi ipi? kimepimwa au hakijapimwa. kwa mwanza kata nyingi bado zina vijiji na umeme na maji bado.kwa kwa bei hyo inawezekana kabisa.
KARIBU SANA
 
KIWANJA.
kiko NYASAKA karibu na barabara ya lami inayokatikatiza toka Buzuruga-pasiansi.Kimepimwa,umeme na maji yamefika.
Ukubwa ni 40x55 bei yake ni mil9 tu.
KARIBUNI
 
Kiwanja kinauzwa Nyegezi kona karibu na Tema Hotel ni kikubwa kimepimwa ni 30x40.tsh mil.14.
KARIBUNI
 
Nyumba.
Ina maji na umeme,vyumba vi2 iko Kilimahewa karibu na Bigbite.bei Tsh45.
 
Ni kweli mdau makin pia inategemea ni nyegezi ipi? kimepimwa au hakijapimwa. kwa mwanza kata nyingi bado zina vijiji na umeme na maji bado.kwa kwa bei hyo inawezekana kabisa.
KARIBU SANA

Nilitegemea kuwa una connection ya kutosha ndo maana nafuatilia post zako kwa karibu...huyo Mdau Makin nadhani nae ni mtazamo wake.
 
Last edited by a moderator:
OK mwanachama sahihi. nambie ni maeneo gani hasa unahitaji iwe assignment yangu.
KARIBU SANA
 
NYUMBA 2.
zinauzwa ziko Igoma mtaa wa Mtakuja karibu na s/m MTAKUJA na shule ya sekondari MTAKUJA. Maji yamefika umeme haujawekwa kwenye nyumba zote(ndo yuko kwenye taratibu na taratibu zote keshakamilisha muda wowote unaingia).Kisima cha kuchimba pia kipo.Nyumba kubwa ina vyumba 8 ambavyo mpaka sasa kuna Wapangaji. Ya mbele ambayo ndo inakamilika ina vyumba 5.Hati zote zipo.
jumla anauza tsh mil.60 kila moja mil 30.
KARIBUNI
 
Kiwanja kinauzwa Nyegezi kona karibu na Tema
Hotel ni kikubwa kimepimwa ni 30x40.tsh mil.14.
KARIBUNI
 
Nyumba inauzwa Usagara ina vyumba viwili+jiko
+sebule kubwa.
chumba kimoja ni self. Iko karibu na barabara ya
mtaa umeme umefika.
bei maelewano.
cont. 0767791405/0789998398
 
NYUMBA.
iko NYAMHONGOLO ina vyumba
3(master1+self2),sebule+jiko iko kwenye finishing
ya floor imeshaezekwa maji yamo umeme pia
umefika(ingiwa haujaingizwa kwenye nyumba).
mtindo wa nyumba ni wa kisasa.
kiwwnja ni25×40.
bei mil45tu.
KARIBUNI WOTE
 
Kiwanja kiko Buswelu Wilayani na boma ndani
yake la vyumba vi4 mil.20
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom