ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
naweza kupata kiwanja cha futi 50-60 huko kahama - shinyanga au eneo lolote mwanza
kwa bei ya 1.8m? nahitaji sana mkuu
kwa bei ya 1.8m? nahitaji sana mkuu
Hakijapimwa mkuuKina hati mkuu
Bado kipo mkuu? Au kisha enda?Kiwanja kiko maeneo ya airport ilemela Mwanza. Ukubwa 25m*30m Bei nafuu 1.8ml. 0753101293
Uliyetoa taarifa hii je kiwanja bado kipo...????Kiwanja kiko maeneo ya airport ilemela Mwanza. Ukubwa 25m*30m Bei nafuu 1.8ml. 0753101293
Hili eneo lilipata mnunuzi?Eneo linauzwa
liko kona ya Fela(ni makutano ya barabara ya usagara/kisesa/sumve/kishiri igoma) ni zaidi ya hekari 4 umeme umefika.
bei mil.70.
KARIBUN WOTE.
asante sana mwanajamii forum , vp nitapata kiwanja igombe bei gani cha kawaida cha nyumba ya kuishi ?kws wanaohitaji viwanja maeneo ya Igombe au Kayenze jijin Mwanza tuwasiliane