Pata mabati ya rangi(bei ya kiwandani)

Pata mabati ya rangi(bei ya kiwandani)

geji 30 sh. 20,000 tu kwa pc
geji 28 sh. 26,500 tu kwa pc
geji 32 sh. 15,000 tu kwa pc
kofia/Valley sh. 10,000 kwa pc
misumari(rangi) sh. 9,000 kwa kilo
KELVIN HAULE NIPO DAR 0714573462

pc moja in ukubwa gani? kwa square metre
 
Nielekezeni maana ya gauge na ubora wake na utofauti wa bei kwenye mabati kulingana na gauge maana halisi ya gauge katika mabati ni nini
 
Back
Top Bottom