Pata mabati ya rangi(bei ya kiwandani)

Pata mabati ya rangi(bei ya kiwandani)

View attachment 697849View attachment 697850View attachment 697851View attachment 697852View attachment 697853View attachment 697854View attachment 697855View attachment 697856View attachment 697857

Gage30 sh. 20,000 kwa pc, sh. 7000/m
gage28 sh. 26,500 kwa pc,sh.9000/m
gage32 sh. 15,500 kwa pc
VESSAL sh. 10,500 kwa mita
LUGOBA sh. 10,500 kwa mita
KOFIA sh. 9,000 kwa pc
MISUMARI(rangi) sh. 9,000 kwa kilo

KELVIN HAULE(RED EAST BUILDING MATERIALS) NIPO TABATA BIMA DAR ES SALAAM 0714573462
Una hakika hayapauki?
 
kila bati hupauka baada muda, Ila ninakuhakikishia maisha marefu ya bati hizi
Nna wasiwasi wa hizo bati kutokana na majibu yako. Ndugu zangu kuweni makini na hizi bati kuna ndugu yangu imembidi abadilishe bati zake baada ya mwaka kwani hazifai zinapauka sana
 
kila bati hupauka baada muda, Ila ninakuhakikishia maisha marefu ya bati hizi
Hupauka baada ya mda gani??? warrant yake ipoje....ukisema unanihakikishia bila details muhimu ni sawa na porojo tuu.
 
Nna wasiwasi wa hizo bati kutokana na majibu yako. Ndugu zangu kuweni makini na hizi bati kuna ndugu yangu imembidi abadilishe bati zake baada ya mwaka kwani hazifai zinapauka sana
una haki na ni vema kuwa na wasiwasi na kitu ambacho hukijui uhalisia wake, lakini mm ninahakikisha ubora na si vinginevyo
 
geji 30 sh. 20,000 tu kwa pc
geji 28 sh. 26,500 tu kwa pc
geji 32 sh. 15,000 tu kwa pc
kofia/Valley sh. 10,000 kwa pc
misumari(rangi) sh. 9,000 kwa kilo
KELVIN HAULE NIPO DAR 0714573462
Nina duka la vifaa vya ujenzi huku mkoani naweza kuwa wakala wako?
 
una haki na ni vema kuwa na wasiwasi na kitu ambacho hukijui uhalisia wake, lakini mm ninahakikisha ubora na si vinginevyo
Una nihakikishiaje? Huwezi kuwahakikishia watu kwa maneno ya mdomoni na watu wakakuamini. Njoo na vielelekezo watu watakuamini
 
una haki na ni vema kuwa na wasiwasi na kitu ambacho hukijui uhalisia wake, lakini mm ninahakikisha ubora na si vinginevyo
acha porojo.. company zote za mabati ya rangi kama ALIF, SUNSHARE, etc wamekeka wazi warrant na wanasema yanapauka baada ya mda gani.. wewe unaleta maneno eti unatuhakikishia.. je tutakuamini vip kwenye dunia hii ya wahuni wengi.. usikute hizi ndio zile zinazotengenezwa na ma-srepa huko ASIA/SOUTH AFRICA
 
ukweli ni kwamba hatuna warranty ila tangu tuanze kufanya biashara hii kwa miaka mitano sasa hatujawahi kupata lawama ya bati kupauka na ukizingatia bei zetu ni ''far more cheaper'' kuliko bati za viwanda vingine kama sunshare, Alaf n.k
 
yasijekuwa yale mabati kabla hujahamia kwenye mjengo, yameshapauka na kutu juu.
 
geji 30 sh. 20,000 tu kwa pc
geji 28 sh. 26,500 tu kwa pc
geji 32 sh. 15,000 tu kwa pc
kofia/Valley sh. 10,000 kwa pc
misumari(rangi) sh. 9,000 kwa kilo
KELVIN HAULE NIPO DAR 0714573462
Hiyo bey ni gharama sana
 
yasijekuwa yale mabati kabla hujahamia kwenye mjengo, yameshapauka na kutu juu.
 
Unauza kwa kuangalia ubora au shape? Mfano bati za gage 30 ila migongo mipana na kuna gage 30 bati za shule bei inakuwa moja. Au bei inaweza kuwa sawana bati zile zenye shape ya vigae?
 
Back
Top Bottom