Twende Kidigitali 2023 OFFER kwa Wamiliki wa Makampuni Tanzania

Digital Max

Member
Feb 10, 2023
11
4
Je,huyu ni Wewe?

Kama Unamiliki Kampuni au Ndo umefungua kampuni yako Mpya..

Na unatumia EMAILS katika Mawasiliano ya Kampuni yako

@nyumbani_digital tumekuletea Huduma itakayokusaidia kampuni yako KUAMINIKA na kuonekana PROFESSIONAL machoni kwa Wateja wako

Jipatie PROFESSIONAL Business Emails kwa ajili ya Mawasiliano ya Kampuni yako

Mfano: info@nyumbanidigital.com

Kwanini Utumie Professional Business Emails na Sio GMAIL?

FAIDA UTAKAZOPATA NI HIZI HAPA

Itakua na Jina la kampuni yako (Own Domain) sio Gmail

Utaweza kuwapatia staff na Department email zao mfano: sales@, marketing@, na info@jinalakampuni.co.tz

Utaziweka ktk Business Cards hivo ZITAKUTANGAZA zaidi

Utaweza kuapply Tender Mbali Mbali UKIJIAMINI zaidi

Utaonekana PROFESSIONAL na KUKUTOFAUTISHA na Wenzio sokoni

Achana na GMAIL au Yahoo ..

Pata Offer hii tunayoitoa Leo kwa Kampuni 10 tu za Mwanzo

UTAPATA Professional Business Emails za kampuni yako kwa Bei ya Ofa Tsh.9,999/= Tu kwa Mwezi (Badala ya 19,999/= kwa Mwezi)

Na Utaweza Kuboresha Mawasiliano ya Kampuni yako.

Tuma PM au Piga Simu/Whatsapp 0752226475 kwa Maelezo zaidi juu ya Huduma hii au Maswali

NOTE:

Malipo ya Huduma ni kwa Miezi 12
Kazi inakamilka ndani ya Masaa 24 tu, unatumia Emails zako
Unaweza Fanya Appointment tukaonana Kwanza

Karibu Sana...Ofisi zipo Kinondoni B,

PS: OFA Hii ni kwa Kampuni 10 tu, Wahi sasa na Uipe Thamani Kampuni yako kuanzia Leo.

Usibaki Nyuma,TWENDE KIDIGITALI na Teknolojia 2023.

Screenshot_20230315-092755.jpg
 
Naweza kuwa nayo bila kuwa na website
YES... Unaweza kuwa na Emails Professional bila kuhitaji Website

Na hii Inawafaa zaidi wale ambao Wanaanza kwahiyo Mtu anakua ana vitu vingi vya kuvipa kufocus katika Kampuni

Kwahiyo unakuta Wengi Bajeti ya Website inakua kubwa kidogo.....hivyo tunawashauri waanze na hizi Professional Business Emails

Zinasaidia Sana kujenga Image ya Kampuni
 
Back
Top Bottom