Pata Email ya jina lako kwa TZS 80,000/= tu

Pata Email ya jina lako kwa TZS 80,000/= tu

Ortega

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
844
Reaction score
209
Pata Email kwa jina lako au kampuni yako mfano "mimi@jinalaukoo.com" au "juma@jinalakampuni.com" kwa TZS 80,000/= tu.

Unaweza kuwapa ndugu na jamaa zako email yenye jina lako la ukoo na ukapata email zako popote duniani kuanzia kwenye komputa mpaka simu (Blackberry, IPhone, Symbian phone etc)

Call: 0712 78 79 39
 
Ngoja waje wenzio. Hawakawii kusema wao wanazo za bure
 
Hebu tudadavulie na faida zake.

hizi hapa ni taasisi mbili, jiulize ipi unaiona ipo makini katika kuendesha kazi zake,nk.:

1. ccmhabari@gmail.com na
2. info@chadema.org

Hapo namba 1 binafsi nitajiuliza hivi: kampuni ambayo inatumia email adress ya bure ni makini kweli.

Hapa jamvini iliwahi kuanzishwa thread ya Ikulu ya Magogoni kutumia adress ya . yahoo.com.
 
Last edited by a moderator:
Kitumbua kimeingia mchanga. Asante made it
 
mi nahitaji website ya jina langu itakuwa ni sh ?
 
Back
Top Bottom