Pata Benzi mpyaaaa hapaaaaaaaaa

mwelulila

Senior Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
109
Reaction score
4
Ewe mwana jamii forum unaweza jipatia Gar aina Ya Benzi mpyaaaa hapa na n shilling million 19.5 za kitanzania, gari ipo Dar na ninapatikana kwa namba hii 0718 9038 36
 
Benzi mpya? Kwa maana ya Mercedes Benz mpya? Kwa Tshs. 19,000,000/= tu? Dar Es Salaam?
 
Ewe mwana jamii forum unaweza jipatia Gar aina Ya Benzi mpyaaaa hapa na n shilling million 19.5 za kitanzania, gari ipo Dar na ninapatikana kwa namba hii 0718 9038 36
Hii Mercedes sio mpya! I believe ni C-300 tena ya before 2006.
Mercedes mpya for 19million?.....................................too good to be true
 
piga hyo namba hyo upate maelezo:
 
piga hyo namba hyo upate maelezo:
I don't have to.
This is JF where we dare talk openly, so why don't you put everything in the open so that facts/truth be known instead of entertaining backdoor deals?
I'm obsessed to cars, and I tell you what, that MBZ isn't new. It's a C class of between 2000-2006. Shuka bei tuongee biashara hapa jamvini na sio kwenye simu
 
Nikikupigia simu nitakuwa ninakupa imaarufu tu. Wewe tiririka hapa hapa, mtu umeshaweka price tag, sasa chenga za nini?
 
gari ndio hiyo wakuu sema kuna details ckupewa fresh coz kuna m2 nlmsaidia 2 kupost
ila mzigo uko vzuri na ukitaka kuongea biashara namba ya cm nmetoa
 
uko sawa mkuu ila busines co k2 cha mcmmmmmmmmm
 
Hiyo gari ni ya wizi imeibiwa PRETORIA mwezi wa 2, 2014 nilitaka kwenda kununua nikachukua chassis number nikaenda INTERPOL ku-cross check kwenye database yao wakaniambia wanaitafuta. So wanunuzi kuweni makini.
 
weka hapa VIN (chassis) number yake mkuu.
 
Hiyo gari ni ya wizi imeibiwa PRETORIA mwezi wa 2, 2014 nilitaka kwenda kununua nikachukua chassis number nikaenda INTERPOL ku-cross check kwenye database yao wakaniambia wanaitafuta. So wanunuzi kuweni makini.

acha uongo wewe ulitaka lini wakat tangazo lina cku ya pili na hujanipigia cm wewe?wa2 wengne bhana duh
 
hahahha..kumbe mtu kati ndio maana umetudanganya kuwa ni mpyaa, umebanwaa ndipo ukaamua kuachia kaukweli kidogo, sema sasa ukweli hiyo gari sio mpya itakuwa imekuja bongo kama 3rd hand or 2nd hand so gari hiyo sio mpyaaa

gari ndio hiyo wakuu sema kuna details ckupewa fresh coz kuna m2 nlmsaidia 2 kupost
ila mzigo uko vzuri na ukitaka kuongea biashara namba ya cm nmetoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…