Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu.

Hakuna biashara ifanyikayo pm kwani ni usiri km hiko halali.
 
Hakuna biashara ifanyikayo pm kwani ni usiri km hiko halali.
Weka namba yako basi hata hapa nikuunge. Haina haja ya kuja Pm kama unaweza weka namba yako hapa
 
Kumpa free ashuhudie sawa, lakini watakaofuata piga rungu ya kisogo wasirudi tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata wewe ukihitaji njoo pm tuu mkuu. Usiwe nashaka
 
Hata mimi naona siyo yakuiwazia, ila nina uhakika wewe umeiwaza kwa kina. Ukiwapata watu mia kwa siku kwa mwaka mmoja tu huhitaji kuwa kwe system yoyote duniani. Kwani utakuwa umekamilisha lengo kuu.
 
Huyo Jamaa nampa 60% ya Kazi Yake Anakufanyia Kazi Kwanza Alafu malipo Baadae Cyo Jamaa Mmoja Yeye Anakwambia Nakuungia Line Ya Chuo Na MaliMali ufanye kabla ya Kazi
 
Kama hutoweza kuiwazia buku 3, hata buku 30 hutoithamini ndugu.
 
Hata mimi naona siyo yakuiwazia, ila nina uhakika wewe umeiwaza kwa kina. Ukiwapata watu mia kwa siku kwa mwaka mmoja tu huhitaji kuwa kwe system yoyote duniani. Kwani utakuwa umekamilisha lengo kuu.
Hesabu tu mkuu,watu wanacheza na akili zetu ili waishi mjini.nachojiuliza huu uzi una masaa zaidi ya matano na kuna ambao waliandika hapa kwamba wanamfuata jamaa Pm sasa muda huo wote hata mmoja kuleta feedback hamna?why!!!
 
Mkuu hii line yako ya chuo au?mbona me hizi offer sizipati,unafanyaje fanyaje?
Mkuu wala sio ya chuo mkuu ila kama jamaa walivyonirekebisha hapo juu kiwa hizi ofa ni kwa mtu na mtu sasa nadhani yakwangu ofa zake ni hizo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…