Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
ngoja nikuchekeshe kidogoI am humbled mdogo wangu. I thought usha nisahau.... Naambiwa asiyekuwepo na lake halipo. :A S shade:

Wadau wa mmu, ni id mpya ila sio mpya jukwaani.. nlikua nafatilia mambo meng kwenye hili jukwaa lakini yalionikuta jana imebidi nigonge hodi na kuomba msaada kwenu...
Tatizo lililonikuta ni hivi jana tu ambapo nimetoka safari yangu ya wiki mbili mkoani na kwa vile nilikua nimemmiss sana shemejii/wifi yenu ikabidi nipite madukani kumchukulia tuzawadi kidogo na kurudi navyo nyumbani.
Nilivofika mtaani nkapata idea ya kupitia pharmacy nchukue kinga kwa ajiri ya mechi nyumbani ( sitaki mtoto kwa sasa na yeye amekataa kutumia njia nyingne kuzuia ujauzito), kwa vile mtu wa pharmacy ni rafiki yangu sana na mtani vilevile, nilipofika na kumwambia shida yangu akashangaa na kusema kaka saa hivi tu ushamaliza ile ya kwanza!!!
Nkawa simuelewi nlipomuuliza zaidi akadai shemeji/wifi yenu katoka kuchkua pakti moja ya kinga muda si mrefu... Nkarudi nyumbani sijielewi na wife sikumkuta akarudi jioni anajichekesha... mpaka saa hii sijui cha kufanya, sijui ndo nshamegewa au vipi?? na ke niulize zile condoms alipeleka wapi??
Hapa ofisini hata kazi haziendi vizuri...
Embu jibu maswali haya kwanza acha kujitwika mizigo ya kichwa! Ulimwambia mkeo kuwa unarudi?,umemuomba mtiano kakunyima?ama umeona dalili zozote kuwa amedo? Umempa mitihani ya kukufanya wewe ugundue kama hizo condom zipo au laah? Na alivyorudi hiyo jioni alionesha dalili gani? Acha kuwa na negative hisia kwa mkeo be a man!!!
ha ha!! wa kwako ukiwa naye, lakini ukiondoka wa wote :A S shade:I am humbled mdogo wangu. I thought usha nisahau.... Naambiwa asiyekuwepo na lake halipo. :A S shade:
Haya mambo ni ya kuwa makini sana...
Imagination na Imani sometimes ni kitu kibaya sana. Ilipaswa pale pale jana uwe mpole urudi nyumbani katika hali ya kawaida. Wewe unasema ulisafiri hivyo ina maana hata huyo wifi yetu pana uwezekana mkubwa sana nae alikukumbuka pia hivyo kujichekesha kwako kama Mpenzi wake ni haki yake kabisa.
Ilipaswa uwe wazi, inapofika wakati wa tendo hizo Condom zako ungeziweka pembeni yeye asizione, na umwambie kuwa mke wangu mie sina condom mana nilipo enda kununua muuzaji kaniarifu wewe ulisha nunua. Namna ange react ndiyo mpango mzima.
Mkeo anaweza akawa hana mazoea ya kununua Condom but hata yeye ni mwanadamu yawezekana alikukumbuka sana na alikuwa na hamu ya tendo akijua wewe upo safarini akaona si mbaya kwa siku hiyo na yeye kununua hata kama si kawaida yake.
Mie naomba utulize tu moyo wako kwa sababu hizi:-
1. Suala la kusema alikuwa ananunua sababu ya kwenda kutumia na mtu mwingine kwa jinsi ulivyo mtafisiri hapa; kuna uwezekana mkubwa si kweli.
2. Siamini kuwa akitoka yeye ndie ataenda na mpira (anaweza tu msisitiza huyo mtu aende nao) na hata kama akiamua kununua siamini kuwa anaweza kununua sehemu ambayo wewe huwa unanunua (yaani karibu na nyumbani ama kwa mtu anaye mfahamu).
3. Alijua wewe unafika siku hiyo hata kama kutoka siamini kuwa angechagua kutoka siku ambayo wewe ndio unarudi.
Suala la muuzaji nalo la kuliangalia sana, huwezi jua niya yake, ukute ni moja ya wale raha yake ndoa yako iwe matatani. Iweje akuulize swali kama hilo na kukupa taarifa kwa mtindo huo?
Mie nahisi ni wasi wasi wako tu, inapaswa tu uongee nae then utajua nini kinaendelea ama ilikuwaje.
ngoja nikuchekeshe kidogo![]()
Ya muhimu sana hayo kuliko kubaki na hisia tu!
umemuomba mtiano kakunyima?