Pasua kichwa!! Nitamwamini vipi mke wangu? Msaada Tafadhali!

Pasua kichwa!! Nitamwamini vipi mke wangu? Msaada Tafadhali!

Huna haja ya kumuuliza. wewe fanya kama unataka gemu then usioneshe kama unazo condom ili uone kama atazitoa alizonunua. asipozitoa basi ujue kaka umeliwa mzigo wako!!!!!

game niliomba jana akadai amechoka na nisingeenjoy mpaka awe vizuri lakini condoms huwa naweka sehemu moja pale chumbani kama kanunua kwa ajiri yangu mbona sijaziona sehemu tunapoziwekaga
 
Wadau wa mmu, ni id mpya ila sio mpya jukwaani.. nlikua nafatilia mambo meng kwenye hili jukwaa lakini yalionikuta jana imebidi nigonge hodi na kuomba msaada kwenu...

Tatizo lililonikuta ni hivi jana tu ambapo nimetoka safari yangu ya wiki mbili mkoani na kwa vile nilikua nimemmiss sana shemejii/wifi yenu ikabidi nipite madukani kumchukulia tuzawadi kidogo na kurudi navyo nyumbani. Nilivofika mtaani nkapata idea ya kupitia pharmacy nchukue kinga kwa ajiri ya mechi nyumbani ( sitaki mtoto kwa sasa na yeye amekataa kutumia njia nyingne kuzuia ujauzito), kwa vile mtu wa pharmacy ni rafiki yangu sana na mtani vilevile, nilipofika na kumwambia shida yangu akashangaa na kusema kaka saa hivi tu ushamaliza ile ya kwanza!!!

Nkawa simuelewi nlipomuuliza zaidi akadai shemeji/wifi yenu katoka kuchkua pakti moja ya kinga muda si mrefu... Nkarudi nyumbani sijielewi na wife sikumkuta akarudi jioni anajichekesha... mpaka saa hii sijui cha kufanya, sijui ndo nshamegewa au vipi?? na ke niulize zile condoms alipeleka wapi??

Hapa ofisini hata kazi haziendi vizuri...

habari za kimbea nazo zina faida kwa upande mwingine!!

angekua wife wangu huyo...

ningempiga jicho kama dakika 20 hivi.... ukweli angeusema mwenyewe!!!
 
pole sana mkuu ndio usha megewa utamu wako ,naisikitikia sana ndoa yenu sababu tayari ibirisi kesha ingia hata kama hakwenda kuziniwa nnje na condom hakununua ,tayari mambo yalisha haribika hapo
 
Embu jibu maswali haya kwanza acha kujitwika mizigo ya kichwa! Ulimwambia mkeo kuwa unarudi?,umemuomba mtiano kakunyima?ama umeona dalili zozote kuwa amedo? Umempa mitihani ya kukufanya wewe ugundue kama hizo condom zipo au laah? Na alivyorudi hiyo jioni alionesha dalili gani? Acha kuwa na negative hisia kwa mkeo be a man!!!

nilimwambia kabisa narudi siku hiyo so alikua anajua... game kadai jana amechoka it wont be as sweet as alwys
 
ndoa jamani? condom ndoani??????? teh teh ..ndo maana unasaidiwa!
 
miss u mamito! nadhani umempa majibu ya kumtosha..cha muhimu pia apretend siku moja anataka na hana condom ili aone mkewe kama hatotoa hilo boksi!
Haya mambo ni ya kuwa makini sana...

Imagination na Imani sometimes ni kitu kibaya sana. Ilipaswa pale pale jana uwe mpole urudi nyumbani katika hali ya kawaida. Wewe unasema ulisafiri hivyo ina maana hata huyo wifi yetu pana uwezekana mkubwa sana nae alikukumbuka pia hivyo kujichekesha kwako kama Mpenzi wake ni haki yake kabisa.

Ilipaswa uwe wazi, inapofika wakati wa tendo hizo Condom zako ungeziweka pembeni yeye asizione, na umwambie kuwa mke wangu mie sina condom mana nilipo enda kununua muuzaji kaniarifu wewe ulisha nunua. Namna ange react ndiyo mpango mzima.

Mkeo anaweza akawa hana mazoea ya kununua Condom but hata yeye ni mwanadamu yawezekana alikukumbuka sana na alikuwa na hamu ya tendo akijua wewe upo safarini akaona si mbaya kwa siku hiyo na yeye kununua hata kama si kawaida yake.

Mie naomba utulize tu moyo wako kwa sababu hizi:-

1. Suala la kusema alikuwa ananunua sababu ya kwenda kutumia na mtu mwingine kwa jinsi ulivyo mtafisiri hapa; kuna uwezekana mkubwa si kweli.

2. Siamini kuwa akitoka yeye ndie ataenda na mpira (anaweza tu msisitiza huyo mtu aende nao) na hata kama akiamua kununua siamini kuwa anaweza kununua sehemu ambayo wewe huwa unanunua (yaani karibu na nyumbani ama kwa mtu anaye mfahamu).

3. Alijua wewe unafika siku hiyo hata kama kutoka siamini kuwa angechagua kutoka siku ambayo wewe ndio unarudi.

Suala la muuzaji nalo la kuliangalia sana, huwezi jua niya yake, ukute ni moja ya wale raha yake ndoa yako iwe matatani. Iweje akuulize swali kama hilo na kukupa taarifa kwa mtindo huo?

Mie nahisi ni wasi wasi wako tu, inapaswa tu uongee nae then utajua nini kinaendelea ama ilikuwaje.
 
ndoa jamani? condom ndoani??????? teh teh ..ndo maana unasaidiwa!

Hahaha jaman Smile si ni moja ya njia za kuzuia mimba tena bila madhara?
Ndoani uzazi wa mpango ndo unatakiwa ivo siku mbaya ni mwendo wa condom tu,maana yale manjia mengine wanadai ni mabaya sana
 
Kapekue maeneo mnayozihifadhi...usipoona lolote kapekue kwenye mikoba na simu (not advisable to do but).....ukiona manyoya ..washammega....kaa kimywa fwatilia mienendo ya simu....MWIZI 40 siku ni nyingi sana....ijapokuwa wakati nasoma nilikuwa mwizi (wa matunda (eg maembe, ndizi, maparachichi, nk) ya skuli) kwa miaka 6 na sikukamatwa
 
miss u mamito! nadhani umempa majibu ya kumtosha..cha muhimu pia apretend siku moja anataka na hana condom ili aone mkewe kama hatotoa hilo boksi!

I am humbled mdogo wangu. I thought usha nisahau.... Naambiwa asiyekuwepo na lake halipo. :A S shade:
 
mbebeshe mimba fasta huyo, double double hadi atie akiri
 
Si bora katumia kondomu! au unalalamika kwanini katumia! sielewi!
 
Hahaha jaman Smile si ni moja ya njia za kuzuia mimba tena bila madhara?
Ndoani uzazi wa mpango ndo unatakiwa ivo siku mbaya ni mwendo wa condom tu,maana yale manjia mengine wanadai ni mabaya sana
aisee kazi kweli kweli bwana! mi nilidhani ndoani ni full kujiachia mwenzio! kumbe ukijiachia fasta unajikuta na timu ya mpira eeeh!
 
I am humbled mdogo wangu. I thought usha nisahau.... Naambiwa asiyekuwepo na lake halipo. :A S shade:
ahaaaa siwezi kukusahau my dearest ! sema tu majukumu yameongezeka siku hizi!
 
Haya mambo ni ya kuwa makini sana...

Imagination na Imani sometimes ni kitu kibaya sana. Ilipaswa pale pale jana uwe mpole urudi nyumbani katika hali ya kawaida. Wewe unasema ulisafiri hivyo ina maana hata huyo wifi yetu pana uwezekana mkubwa sana nae alikukumbuka pia hivyo kujichekesha kwako kama Mpenzi wake ni haki yake kabisa.

Ilipaswa uwe wazi, inapofika wakati wa tendo hizo Condom zako ungeziweka pembeni yeye asizione, na umwambie kuwa mke wangu mie sina condom mana nilipo enda kununua muuzaji kaniarifu wewe ulisha nunua. Namna ange react ndiyo mpango mzima.

Mkeo anaweza akawa hana mazoea ya kununua Condom but hata yeye ni mwanadamu yawezekana alikukumbuka sana na alikuwa na hamu ya tendo akijua wewe upo safarini akaona si mbaya kwa siku hiyo na yeye kununua hata kama si kawaida yake.

Mie naomba utulize tu moyo wako kwa sababu hizi:-

1. Suala la kusema alikuwa ananunua sababu ya kwenda kutumia na mtu mwingine kwa jinsi ulivyo mtafisiri hapa; kuna uwezekana mkubwa si kweli.

2. Siamini kuwa akitoka yeye ndie ataenda na mpira (anaweza tu msisitiza huyo mtu aende nao) na hata kama akiamua kununua siamini kuwa anaweza kununua sehemu ambayo wewe huwa unanunua (yaani karibu na nyumbani ama kwa mtu anaye mfahamu).

3. Alijua wewe unafika siku hiyo hata kama kutoka siamini kuwa angechagua kutoka siku ambayo wewe ndio unarudi.

Suala la muuzaji nalo la kuliangalia sana, huwezi jua niya yake, ukute ni moja ya wale raha yake ndoa yako iwe matatani. Iweje akuulize swali kama hilo na kukupa taarifa kwa mtindo huo?

Mie nahisi ni wasi wasi wako tu, inapaswa tu uongee nae then utajua nini kinaendelea ama ilikuwaje.

nimekupata dada, ngoja tudhanie hivyo kwa sasa ila ntakaporudi leo nataka nim bane... vipi ka atakua hana izo condoms niamini nini na nimeambiwa kachukua, yule mfamasia ni rafiki yangu mzuri tu kaoa na sidhani ka anaweza kunidanganya kwa hili!!!
 
ndoa jamani? condom ndoani??????? teh teh ..ndo maana unasaidiwa!

aah ni kawaida yetu dada smile hasa akiwa katika siku za hatari kupata mimba... we unadhani ntakua nmesaidiwa??
 
Back
Top Bottom