Pasua kichwa!! Nitamwamini vipi mke wangu? Msaada Tafadhali!

Pasua kichwa!! Nitamwamini vipi mke wangu? Msaada Tafadhali!

westgate

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
278
Reaction score
279
Wadau wa mmu, ni id mpya ila sio mpya jukwaani.. nlikua nafatilia mambo meng kwenye hili jukwaa lakini yalionikuta jana imebidi nigonge hodi na kuomba msaada kwenu...

Tatizo lililonikuta ni hivi jana tu ambapo nimetoka safari yangu ya wiki mbili mkoani na kwa vile nilikua nimemmiss sana shemejii/wifi yenu ikabidi nipite madukani kumchukulia tuzawadi kidogo na kurudi navyo nyumbani.

Nilivofika mtaani nkapata idea ya kupitia pharmacy nchukue kinga kwa ajiri ya mechi nyumbani ( sitaki mtoto kwa sasa na yeye amekataa kutumia njia nyingne kuzuia ujauzito), kwa vile mtu wa pharmacy ni rafiki yangu sana na mtani vilevile, nilipofika na kumwambia shida yangu akashangaa na kusema kaka saa hivi tu ushamaliza ile ya kwanza!!!

Nkawa simuelewi nlipomuuliza zaidi akadai shemeji/wifi yenu katoka kuchkua pakti moja ya kinga muda si mrefu... Nkarudi nyumbani sijielewi na wife sikumkuta akarudi jioni anajichekesha... mpaka saa hii sijui cha kufanya, sijui ndo nshamegewa au vipi?? na ke niulize zile condoms alipeleka wapi??

Hapa ofisini hata kazi haziendi vizuri...
 
Mmmmmh! Pole sana! Ni dhahiri Mkuu hapo umesaidiwa vya kutosha hakiamama.

Mkeo cyo mwaminifu hata kidogo.

Nawe lipiza tafuta pa kwenda kumalizia mambo yako kusudi kwako nawe ngoma iwe droo!

Ubinadamu ni kazi kweli kweli!
 
Labda alinunua akitarajia mzitumie kwani alijua uko njiani unarudi.Ah! ndoa hizi. Bado nipo nipo sana.
 
kama mkeo alikuwa anajua kuwa unarudi na kutumia condoms ndo kawaida yenu sioni kama kuna tatizo labda alikuwa anaandaa kama ww ulivyokuwa unataka kuandaa, tatizo ni yeye amewahi kuandaa kabla ww hujafka bac
 
jamani si ungeongea nae kwanza.......Ingawa mambo mengi yanajieleza hapo......

huyo mtu wa Pharmacy nae mmbea lol.....hata kama mngekuwa mmemaliza

zote ye yanamhusu nini!!!!!!!!
ntaongea nae nini sasa hapo, nimuulize alipozipeleka au nifanyaje... yeye hana mazoea kabisa ya kununua hvyo vitu, mi ndo huwa nachukua!!! na bora mwenye pharmacy kanambia mapema, angechelewa ingeweza kuwa vibaya zaidi
 
kama mkeo alikuwa anajua kuwa unarudi na kutumia condoms ndo kawaida yenu sioni kama kuna tatizo labda alikuwa anaandaa kama ww ulivyokuwa unataka kuandaa, tatizo ni yeye amewahi kuandaa kabla ww hujafka bac

huwa anaaibu sana, nkimuagiza afate anakataa anasema hawezi kuulizia dukani hiyo bidhaa... Na kama alipata ujasiri na kununua kwa ajiri yangu mbona sijaona matumizi yake hadi saa hii
 
mkuu ushamegewa wala haiitaji mita kusoma, tafuta mwanamke mwingine
 
Mmmmmh! Pole sana! Ni dhahiri Mkuu hapo umesaidiwa vya kutosha hakiamama.

Mkeo cyo mwaminifu hata kidogo.

Nawe lipiza tafuta pa kwenda kumalizia mambo yako kusudi kwako nawe ngoma iwe droo!

Ubinadamu ni kazi kweli kweli!

hata sijielewi, hapa ndo mwanzo wa kuanza kucheat kwenye ndoa...
 
Huna haja ya kumuuliza. wewe fanya kama unataka gemu then usioneshe kama unazo condom ili uone kama atazitoa alizonunua. asipozitoa basi ujue kaka umeliwa mzigo wako!!!!!
 
mh huyo mkali,alijua unarud n still kaenda kufatuliwa nje...au hukumwambia...ulitaka kumsuprise
 
Mmmmmh! Pole sana! Ni dhahiri Mkuu hapo umesaidiwa vya kutosha hakiamama.

Mkeo cyo mwaminifu hata kidogo.

Nawe lipiza tafuta pa kwenda kumalizia mambo yako kusudi kwako nawe ngoma iwe droo!

Ubinadamu ni kazi kweli kweli!

An eye for an eye make the world BLIND......

Sidhani kama kulipiza kisasi ni suluhisho sahihi
 
Haya mambo ni ya kuwa makini sana...

Imagination na Imani sometimes ni kitu kibaya sana. Ilipaswa pale pale jana uwe mpole urudi nyumbani katika hali ya kawaida. Wewe unasema ulisafiri hivyo ina maana hata huyo wifi yetu pana uwezekana mkubwa sana nae alikukumbuka pia hivyo kujichekesha kwako kama Mpenzi wake ni haki yake kabisa.

Ilipaswa uwe wazi, inapofika wakati wa tendo hizo Condom zako ungeziweka pembeni yeye asizione, na umwambie kuwa mke wangu mie sina condom mana nilipo enda kununua muuzaji kaniarifu wewe ulisha nunua. Namna ange react ndiyo mpango mzima.

Mkeo anaweza akawa hana mazoea ya kununua Condom but hata yeye ni mwanadamu yawezekana alikukumbuka sana na alikuwa na hamu ya tendo akijua wewe upo safarini akaona si mbaya kwa siku hiyo na yeye kununua hata kama si kawaida yake.

Mie naomba utulize tu moyo wako kwa sababu hizi:-

1. Suala la kusema alikuwa ananunua sababu ya kwenda kutumia na mtu mwingine kwa jinsi ulivyo mtafisiri hapa; kuna uwezekana mkubwa si kweli.

2. Siamini kuwa akitoka yeye ndie ataenda na mpira (anaweza tu msisitiza huyo mtu aende nao) na hata kama akiamua kununua siamini kuwa anaweza kununua sehemu ambayo wewe huwa unanunua (yaani karibu na nyumbani ama kwa mtu anaye mfahamu).

3. Alijua wewe unafika siku hiyo hata kama kutoka siamini kuwa angechagua kutoka siku ambayo wewe ndio unarudi.

Suala la muuzaji nalo la kuliangalia sana, huwezi jua niya yake, ukute ni moja ya wale raha yake ndoa yako iwe matatani. Iweje akuulize swali kama hilo na kukupa taarifa kwa mtindo huo?

Mie nahisi ni wasi wasi wako tu, inapaswa tu uongee nae then utajua nini kinaendelea ama ilikuwaje.
 
huwa anaaibu sana, nkimuagiza afate anakataa anasema hawezi kuulizia dukani hiyo bidhaa... Na kama alipata ujasiri na kununua kwa ajiri yangu mbona sijaona matumizi yake hadi saa hii

Hujamtambua mkeo vizuri. Hiyo aibu uliyoiona ni kwa nje, kwa ndani macho makavuuuuu, we unadai hawezi nunua kondom? ona sasa. Cha kushukuru hapo ni kwamba unaujua umuhimu wa kutumia kondom.

Usipasue kichwa jua mkeo analiwa. Kazi ni kwako!
 
Huna haja ya kumuuliza. wewe fanya kama unataka gemu then usioneshe kama unazo condom ili uone kama atazitoa alizonunua. asipozitoa basi ujue kaka umeliwa mzigo wako!!!!!

Fanya kama alivyo shauri Mr. Hapo, jibu utakalo lipata uje tukushauri sasa.

Inawezekana zipo na mkeo kazitunza kwa ajili ya muda wa 6 kwa 6 ukifika alafu wewe una anza kujipasua kichwa baadala ya kufanya uchunguzi huo kwanza .

Pia inawezekana mkeo kaisha zitumia na bwana mwingine.

Pia inawezekana muuza pharmacy akawa ni muongo tu kwania ya kuwa gombanisha.

Fanya uchunguzi kwanza ndio ujipasue kichwa Mr.
 
huwa anaaibu sana, nkimuagiza afate anakataa anasema hawezi kuulizia dukani hiyo bidhaa... Na kama alipata ujasiri na kununua kwa ajiri yangu mbona sijaona matumizi yake hadi saa hii

May b mmetumia ulizoleta ww thats why hujaona alzonunua yy, kwani mkeo anaonesha tofauti yoyote hadi umfikirie vbaya? na inawezekana pia ameamua kuacha hiyo aibu yk ndio maana akaamua akanunue mwnyw
 
mfamasia gani huyu hana akili kabisa...
 
huwa anaaibu sana, nkimuagiza afate anakataa anasema hawezi kuulizia dukani hiyo bidhaa... Na kama alipata ujasiri na kununua kwa ajiri yangu mbona sijaona matumizi yake hadi saa hii
Hapo kwenye RED, kaka kwanini usianzishe mechi ukaona kama atazitoa au laa?
Jengine usi kubali kuamini maneno ya mtu eti anaaibu sana aibu hiyo kwako tuu kwa wengine wala hana aibu...
chakufanya anzisha mechi halafu sema kama jezi umesahau uone kama atatoa zake au laa....au huyo mwenye kuuza kakosea sura,na ulikua mda muafaka ni pale pale alipo rudi ndio ungejua kama uliibiwa au laa sasa ivi tena duh ushachelewa janvini karamu imeshaliwa.............

Mmmmmh! Pole sana! Ni dhahiri Mkuu hapo umesaidiwa vya kutosha hakiamama.

Mkeo cyo mwaminifu hata kidogo.

Nawe lipiza tafuta pa kwenda kumalizia mambo yako kusudi kwako nawe ngoma iwe droo!

Ubinadamu ni kazi kweli kweli!

unampoteza mwenzio ujue!!!
 
Embu jibu maswali haya kwanza acha kujitwika mizigo ya kichwa! Ulimwambia mkeo kuwa unarudi?,umemuomba mtiano kakunyima?ama umeona dalili zozote kuwa amedo? Umempa mitihani ya kukufanya wewe ugundue kama hizo condom zipo au laah? Na alivyorudi hiyo jioni alionesha dalili gani? Acha kuwa na negative hisia kwa mkeo be a man!!!
 
Back
Top Bottom