Wadau wa mmu, ni id mpya ila sio mpya jukwaani.. nlikua nafatilia mambo meng kwenye hili jukwaa lakini yalionikuta jana imebidi nigonge hodi na kuomba msaada kwenu...
Tatizo lililonikuta ni hivi jana tu ambapo nimetoka safari yangu ya wiki mbili mkoani na kwa vile nilikua nimemmiss sana shemejii/wifi yenu ikabidi nipite madukani kumchukulia tuzawadi kidogo na kurudi navyo nyumbani.
Nilivofika mtaani nkapata idea ya kupitia pharmacy nchukue kinga kwa ajiri ya mechi nyumbani ( sitaki mtoto kwa sasa na yeye amekataa kutumia njia nyingne kuzuia ujauzito), kwa vile mtu wa pharmacy ni rafiki yangu sana na mtani vilevile, nilipofika na kumwambia shida yangu akashangaa na kusema kaka saa hivi tu ushamaliza ile ya kwanza!!!
Nkawa simuelewi nlipomuuliza zaidi akadai shemeji/wifi yenu katoka kuchkua pakti moja ya kinga muda si mrefu... Nkarudi nyumbani sijielewi na wife sikumkuta akarudi jioni anajichekesha... mpaka saa hii sijui cha kufanya, sijui ndo nshamegewa au vipi?? na ke niulize zile condoms alipeleka wapi??
Hapa ofisini hata kazi haziendi vizuri...

Mmmmmh! Pole sana! Ni dhahiri Mkuu hapo umesaidiwa vya kutosha hakiamama.
Mkeo cyo mwaminifu hata kidogo.
Nawe lipiza tafuta pa kwenda kumalizia mambo yako kusudi kwako nawe ngoma iwe droo!
Ubinadamu ni kazi kweli kweli!
nWadau wa mmu, ni id mpya ila sio mpya jukwaani.. nlikua nafatilia mambo meng kwenye hili jukwaa lakini yalionikuta jana imebidi nigonge hodi na kuomba msaada kwenu...
Tatizo lililonikuta ni hivi jana tu ambapo nimetoka safari yangu ya wiki mbili mkoani na kwa vile nilikua nimemmiss sana shemejii/wifi yenu ikabidi nipite madukani kumchukulia tuzawadi kidogo na kurudi navyo nyumbani.
Nilivofika mtaani nkapata idea ya kupitia pharmacy nchukue kinga kwa ajiri ya mechi nyumbani ( sitaki mtoto kwa sasa na yeye amekataa kutumia njia nyingne kuzuia ujauzito), kwa vile mtu wa pharmacy ni rafiki yangu sana na mtani vilevile, nilipofika na kumwambia shida yangu akashangaa na kusema kaka saa hivi tu ushamaliza ile ya kwanza!!!
Nkawa simuelewi nlipomuuliza zaidi akadai shemeji/wifi yenu katoka kuchkua pakti moja ya kinga muda si mrefu... Nkarudi nyumbani sijielewi na wife sikumkuta akarudi jioni anajichekesha... mpaka saa hii sijui cha kufanya, sijui ndo nshamegewa au vipi?? na ke niulize zile condoms alipeleka wapi??
Hapa ofisini hata kazi haziendi vizuri...
Hivi najiuliza tanzania wanafata work ethics?..Unajua ukiwa unafanya kazi kuhusiana na mambo ya healthcare kama physician au pharmacy huruhusiwi kutoa taarifa zinazohusiana na mgonjwa kwa mtu yoyote..Wadau wa mmu, ni id mpya ila sio mpya jukwaani.. nlikua nafatilia mambo meng kwenye hili jukwaa lakini yalionikuta jana imebidi nigonge hodi na kuomba msaada kwenu...
Tatizo lililonikuta ni hivi jana tu ambapo nimetoka safari yangu ya wiki mbili mkoani na kwa vile nilikua nimemmiss sana shemejii/wifi yenu ikabidi nipite madukani kumchukulia tuzawadi kidogo na kurudi navyo nyumbani.
Nilivofika mtaani nkapata idea ya kupitia pharmacy nchukue kinga kwa ajiri ya mechi nyumbani ( sitaki mtoto kwa sasa na yeye amekataa kutumia njia nyingne kuzuia ujauzito), kwa vile mtu wa pharmacy ni rafiki yangu sana na mtani vilevile, nilipofika na kumwambia shida yangu akashangaa na kusema kaka saa hivi tu ushamaliza ile ya kwanza!!!
Nkawa simuelewi nlipomuuliza zaidi akadai shemeji/wifi yenu katoka kuchkua pakti moja ya kinga muda si mrefu... Nkarudi nyumbani sijielewi na wife sikumkuta akarudi jioni anajichekesha... mpaka saa hii sijui cha kufanya, sijui ndo nshamegewa au vipi?? na ke niulize zile condoms alipeleka wapi??
Hapa ofisini hata kazi haziendi vizuri...
Hivi najiuliza tanzania wanafata work ethics?..Unajua ukiwa unafanya kazi kuhusiana na mambo ya healthcare kama physician au pharmacy huruhusiwi kutoa taarifa zinazohusiana na mgonjwa kwa mtu yoyote..
Nakushauri umkalishe chini mkeo umuulize kuhusu suala hilo umsikilize majibu yake!!But to disappoint you and to lower your expectations,there might be a 95% chance that she is cheating on you!!
Mmmmmh! Pole sana! Ni dhahiri Mkuu hapo umesaidiwa vya kutosha hakiamama.
Mkeo cyo mwaminifu hata kidogo.
Nawe lipiza tafuta pa kwenda kumalizia mambo yako kusudi kwako nawe ngoma iwe droo!
Ubinadamu ni kazi kweli kweli!
game niliomba jana akadai amechoka na nisingeenjoy mpaka awe vizuri lakini condoms huwa naweka sehemu moja pale chumbani kama kanunua kwa ajiri yangu mbona sijaziona sehemu tunapoziwekaga
Wadau wa mmu, ni id mpya ila sio mpya jukwaani.. nlikua nafatilia mambo meng kwenye hili jukwaa lakini yalionikuta jana imebidi nigonge hodi na kuomba msaada kwenu...
Tatizo lililonikuta ni hivi jana tu ambapo nimetoka safari yangu ya wiki mbili mkoani na kwa vile nilikua nimemmiss sana shemejii/wifi yenu ikabidi nipite madukani kumchukulia tuzawadi kidogo na kurudi navyo nyumbani.
Nilivofika mtaani nkapata idea ya kupitia pharmacy nchukue kinga kwa ajiri ya mechi nyumbani ( sitaki mtoto kwa sasa na yeye amekataa kutumia njia nyingne kuzuia ujauzito), kwa vile mtu wa pharmacy ni rafiki yangu sana na mtani vilevile, nilipofika na kumwambia shida yangu akashangaa na kusema kaka saa hivi tu ushamaliza ile ya kwanza!!!
Nkawa simuelewi nlipomuuliza zaidi akadai shemeji/wifi yenu katoka kuchkua pakti moja ya kinga muda si mrefu... Nkarudi nyumbani sijielewi na wife sikumkuta akarudi jioni anajichekesha... mpaka saa hii sijui cha kufanya, sijui ndo nshamegewa au vipi?? na ke niulize zile condoms alipeleka wapi??
Hapa ofisini hata kazi haziendi vizuri...
Wadau wa mmu, ni id mpya ila sio mpya jukwaani.. nlikua nafatilia mambo meng kwenye hili jukwaa lakini yalionikuta jana imebidi nigonge hodi na kuomba msaada kwenu...
Tatizo lililonikuta ni hivi jana tu ambapo nimetoka safari yangu ya wiki mbili mkoani na kwa vile nilikua nimemmiss sana shemejii/wifi yenu ikabidi nipite madukani kumchukulia tuzawadi kidogo na kurudi navyo nyumbani.
Nilivofika mtaani nkapata idea ya kupitia pharmacy nchukue kinga kwa ajiri ya mechi nyumbani ( sitaki mtoto kwa sasa na yeye amekataa kutumia njia nyingne kuzuia ujauzito), kwa vile mtu wa pharmacy ni rafiki yangu sana na mtani vilevile, nilipofika na kumwambia shida yangu akashangaa na kusema kaka saa hivi tu ushamaliza ile ya kwanza!!!
Nkawa simuelewi nlipomuuliza zaidi akadai shemeji/wifi yenu katoka kuchkua pakti moja ya kinga muda si mrefu... Nkarudi nyumbani sijielewi na wife sikumkuta akarudi jioni anajichekesha... mpaka saa hii sijui cha kufanya, sijui ndo nshamegewa au vipi?? na ke niulize zile condoms alipeleka wapi??
Hapa ofisini hata kazi haziendi vizuri...
ahaaa....ndio maana sikuwa makini kucheki ID leo!Calm down best! Huyu ndie yule mwenye kithembe!