TANZIA Pastor Abel Ogernes afariki dunia

Tusiogope Watanzania wanaozaliwa ni wengi mno, kufuatia maboresho huduma za afya ,chanjo, elimu bure ,hamasa kuzaliana. Shida ni kupoteza wapambanaji, japo kwa wazee above 80...( Life span 60...yrs) wapumzike kwa amani , kunapunguza garama kuwatunza nk.
Gharama ya kutunza wahuni na wapumbavu kama wewe ndio kubwa, sio kutunza wazee!!!
 
Aiseeee nmefungua huu uzi moyo umeshtuka paaaap. This is so bad kwa kweli.
Hyu pastor namfahamu vizuri sana.

Pole Sana ,Nilipitia facebook yake Just week iliyopita alikuwa fiti ,niliona tar 28 alipost facebook mada then tar 30 akapost kwamba anaumwa after 2-3 days akafariki dunia......Kama ni mtu wako wa karibu ni nini kilimkubwa?
 
Inaonekana alipatwa na tatizo la kupumua lakini alijitibu vizuri tu changamoto ikawa kisukari kinapanda nadhani ili gonga 27.

Sasa akiwa anajifukiza tu na Kula malimao kumbe hku sukari inammaliza tu yye akijua ni ''pneumonia'' ndio inamsumbua.

Anyway nadhani ilikua siku yake Mungu amepanga. May his soul rest in eternal peace
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom