TANZIA Pastor Abel Ogernes afariki dunia

Munajitekenya kisha munacheka wenyewe.

Kuna mzee hapa mtaani kwangu aliniambia kua wapinzani hawana sera tena zaidi ya kujifariji na Corona.

Jizushieni vifo kama haitoshi nendeni nchi za nje mukachanjwe (kumbuka kipimo kime badilika, kwa sasa ni mwendo wa kuchonyoana sehem za haja kubwa) haitoshi jifungieni ndani, tuacheni sisi wananchi tupige kazi tutunze kaya zetu, bila kusahau kulijenga taifa letu Tanzania.

Kelele za sijui nani kafa! tumezichoka.
Kafa Baba yangu itakua huyo pastor?

Asife ye nani?
Ama yeye ndio wakwanza?
Leo watu wangapi wanakufa/ watakufa/ wamekufa kwa siku ya leo?
Kuna kipya hapo?
 
Tusiogope Watanzania wanaozaliwa ni wengi mno, kufuatia maboresho huduma za afya ,chanjo, elimu bure ,hamasa kuzaliana. Shida ni kupoteza wapambanaji, japo kwa wazee above 80...( Life span 60...yrs) wapumzike kwa amani , kunapunguza garama kuwatunza nk.
Ndio shukrani za vijana wetu sasa. Tumewatunza wakiwa wadogo, tukawasomesha hadi wamepata kazi. Sasa wanatuona kama wasumbufu na wanaomba kila siku kwa Mungu ili tufe mapema na kuwapunguzia gharama ya kututunza. Wakumbuke, na wao haya yatawakuta ndipo watakapojua ala uzee si ugonjwa.
 
Munajitekenya kisha munacheka wenyewe.

Kuna mzee hapa mtaani kwangu aliniambia kua wapinzani hawana sera tena zaidi ya kujifariji na Corona.

Jizushieni vifo kama haitoshi nendeni nchi za nje mukachanjwe (kumbuka kipimo kime badilika, kwa sasa ni mwendo wa kuchonyoana sehem za haja kubwa) haitoshi jifungieni ndani, tuacheni sisi wananchi tupige kazi tutunze kaya zetu, bila kusahau kulijenga taifa letu Tanzania.

Kelele za sijui nani kafa! tumezichoka.
Kafa Baba yangu itakua huyo pastor?

Asife ye nani?
Ama yeye ndio wakwanza?
Leo watu wangapi wanakufa/ watakufa/ wamekufa kwa siku ya leo?
Kuna kipya hapo?

Uwe unaficha uchi wa ujinga wako.

Unasemaje chanjo imebadilika na Sasa inachomwa mkundun?

Mkundun ni kipimo. Chanjo ni sindano begani
 
Mimi ninaomba abaki salama akajibu mashtaka ICC. Ninaomba Mungu amlinde katika hili.
Mimi ninataka abaki salama ili apate feedback ya watu baada ya kustaafu he ni kweli kwamba anapendwa Sana?
 
Hapo opposite na octopus, jirani na Mbeya Peak, jioni wanachoma nyama vizuri sana hapo hukaa nikila nyama mara kwa mara.
Pia stand kuu Kuna kabaa fulani, wanachoma nyama za mafungu, Basi nikikaa pale yaani nafurahi Sana.
Pia Karembu na kwa Mwailubi.
hivyo vimishikaki

hivyo vimishikaki kuna kipindi walizusha ni vya nyau eti😭ila vitamu balaaaa
 
Hapana ndugu, usitamani shari imfike hata adui wako, muombee abadilike, kwa kuwa mara nyengine unaweza tamani shari imkute mbaya wako na ikawa kama ulivyotamani, matokeo yake na wewe ukafikwa na baya zaidi yake.
Wakati ni mgumu tujitahidi kuchukua tahadhari na kumwomba muumba atuondoshee changamoto tulizo nazo
Sawa sawa
 
Corona is REal, huyu alikuwa anafundisha WEEEKEND WORSHIP pale TAG-CCC [UPANGA] Kwa Bishop Ranwell Mwenisongole
Dah
Yaani hii mikusanyiko ya kiimani hata sijui tufanyeje............ Mwaka mpya kwa Mwamposa walikataza mkesha (May be ilikuwa kwa ajili ya usalama wa waumini Usiku wa mwaka mpya) but mikusanyiko bado ipo na inaendelea kuwepo. Hapo bado kwenye misiba hasa maeneo ya mikoani na vijijini. Mungu atusaidie kwa kweli.

#Ulinzi wa Afya yako na ya familia yako uko mikononi mwako#
 
Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika [sana], kifo cha Pastor Abel hakijatokana na COVID 19 au udhaifu katika mifumo ya upumuaji.
Waungwana hujitenga na uongo na waongo. Tujisahihishe.

Kwani kuna ajabu gani ikijulikana amekufa kwa corona??? Mbona ki2 cha kawaida sana, ni kama malaria tuuu,,, na co kama Aids.
 
Back
Top Bottom