TANZIA Pastor Abel Ogernes afariki dunia

mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
8,596
8,878
Leo nimestushwa na habari hizi mbaya za kufariki huyu mtumishi mmoja wa waanzilishi wa huduma pale Amana Vijana Centre kwa kweli kasi ya vifo inatisha ndugu zangu.

FB_IMG_1612325511028.jpg
 
Tusiogope Watanzania wanaozaliwa ni wengi mno, kufuatia maboresho huduma za afya ,chanjo, elimu bure ,hamasa kuzaliana. Shida ni kupoteza wapambanaji, japo kwa wazee above 80...( Life span 60...yrs) wapumzike kwa amani , kunapunguza garama kuwatunza nk.
 
Kovu la D naona sasa linatupa makovu kweli kweli.

Unajua mambo ya umoja na vyama kuna mmoja alikwenda Kagera kurudi akaja na mafua makali na kifua si muda kamuondoa mumewe baada ya watu kuja msibani kesho mwana umoja kafa.

Sasa sijui nani anafuata na wote kifua kilichowaondoa
 
Back
Top Bottom