CHUO CHA UFUNDI JITA
Senior Member
- Feb 8, 2013
- 116
- 23
[h=1]PAST CONTINUOUS TENSE[/h] (ULIOPITA HALI YA KUENDELEA)
Hii TENSE inahusisha tendo lililotendeka kwa wakati uliopita lakini bado tukio likiendelea kutendeka.
SHERIA katika TENSE hii ni matumizi ya WAS na WERE.
Kwa ufupi, WAS ni past tense ya IS na WERE ni past tense ya ARE. Na kama ilivyo sheria unapotumia IS au ARE, kitenzi lazima kiongezewe ing mwishoni.
VILE VILE katika matumizi ya WAS WERE yatazingatia sheria kuwa lazima kitenzi (verb) iongezewe ing, mwishoni.
WAS; inatumika kwa pronouns au nouns za Umoja na kwa I na
WERE; inatumika kwa pronouns au nouns za Wingi.
WAS
Mifano zaidi katika sentensi
Ø I was learning English
Ø She was cooking rice
Ø He was playing cards
Ø It was running to the bush
Ø Juma was going to school
WERE
Mifano katika sentensi
Ø We were listening to the radio
Ø They were learning English
Ø You were chatting with your friend
Ø Hamis and John were playing football when the teacher came.
Karibuni tuboreshe!!
Hii TENSE inahusisha tendo lililotendeka kwa wakati uliopita lakini bado tukio likiendelea kutendeka.
| Kiswahili: Juma alikuwa anacheza mpira wa mguu |
| English: Juma was playing football |
SHERIA katika TENSE hii ni matumizi ya WAS na WERE.
Kwa ufupi, WAS ni past tense ya IS na WERE ni past tense ya ARE. Na kama ilivyo sheria unapotumia IS au ARE, kitenzi lazima kiongezewe ing mwishoni.
VILE VILE katika matumizi ya WAS WERE yatazingatia sheria kuwa lazima kitenzi (verb) iongezewe ing, mwishoni.
WAS; inatumika kwa pronouns au nouns za Umoja na kwa I na
WERE; inatumika kwa pronouns au nouns za Wingi.
WAS
| I | was | Singing |
| He | was | Cooking |
| She | was | Dancing |
| It | was | Running |
| Anton | was | Digging |
Mifano zaidi katika sentensi
Ø I was learning English
Ø She was cooking rice
Ø He was playing cards
Ø It was running to the bush
Ø Juma was going to school
WERE
| You | were | Praying |
| We | were | Chatting |
| They | were | Sleeping |
| Queen and Mary | were | learning |
Mifano katika sentensi
Ø We were listening to the radio
Ø They were learning English
Ø You were chatting with your friend
Ø Hamis and John were playing football when the teacher came.
Karibuni tuboreshe!!