Passport: Hali si mbaya kama watu wasemavyo?

Watu wanakosea kuandika RRONDO wanaandika PRONDO na mimi huwa siwasahihishi.
Ujue toka nimejiunga na JF nilikuwa nakusoma kama @PRONDO mpaka juzi juzi nilipoangalia id yako nikahisi na makengeza! Kumbe ni RRONDO
 
Mkuu hauko peke yako, sasa nikaamua kuacha kuwasahihisha kwasababu wengi wanakosea
 
Una bahati, niliyopata ya kijani imeandikwa inaisha 2028 lakini ikifika 2020 haitumiki lazima nibadili.
Una maana zile za zamani zinaexpaya 2020? Yangu ipo hadi 2026, sijaelewa hapo.
 
Jana nimepata passport yangu. Imenichukua miezi miwili tangu niwasilishe maombi mpaka kuipata. Wengi walikuwa wanasema inachukua hadi miezi sita.

Niliomba tarehe 24/11/2017 nikapewa ahadi ya kuchukua tarehe 22/12/2017.

Nilikwenda kuulizia siku chache baada ya hio tarehe nikaambiwa bado. Cha kukatisha tamaa pale niliwakuta watu waliodai waliomba mwezi May!

Baada ya kusikia hivyo nikasema sitarudi kuulizia hadi mwezi wa tatu. Jana nimeenda kuuliza nikaandikiwa kikaratasi namba ya passport na tarehe iliotoka 25/01/2018 itaisha 2018( in fact 2020 haitumiki tena).

Ningeshauri watu wa Uhamiaji muwe na utaratibu wa kutupigia simu pasi zikitoka.

Kwa wale ambao walioomba kama mimi na hazikutoka wana bahati kwasababu wao wanatakiwa kuongeza 100,000 wapate ile mpya na sasa hivi unawasilisha Nation ID tu unapata.

Ila akina sisi 50,000 yetu itatumika kwa mwaka mmoja na miezi tisa baadae tutoe 150,000 kupata mpya.

Watu wameshindwa kusafiri kwa sababu ya kuzuia hard passports. E passports zinahitaji kitambulisho cha taifa ambavyo kuna sehemu hata havijafika. sehemu zingine vinachelewa hadi watu wanakuwa nje ya muda wa madhumuni ya safari.

Kufanya maamuzi ya lazima ya zimamoto yasiyokuwa na dirisha dogo kwa ajili ya dharura ni tatizo kubwa sana la kiuongozi.
 
Za zamani bado zinatumika hadi 2020, hata mimi nimepata ya zamani.
 
Hazitolewi. Kuna watu hadi leo mafaili yao yamezuiliwa ofisi za uahmiaji eti amuri ilitoka ghafula kwa mkuu wao kwamba kuanzia siku hiyo, yaani siku ya uzinduzi tu and I guess kesho yake kwamba hawapeleki tena maombi ya hard passports. Hii ni nini?
 
Boss nimekwambia za zamani BADO ZINATUMIKA hadi 2020.
Tulioomba mapema tumepewa za zamani, waliochelewa wameambiwa ni bora waongeze 100,000 wapewe mpya.
Mimi nimepewa ya zamani expiry date 2028 ila 2020 mwisho inabidi nitoe 150,000
 
Sijui kama umenielewa hoja yangu. Hoja yangu siyo kutumika. Hilo linaeleweka kiongozi. Ninachokiongelea hapa, ni wale waliowasilisha maombi mara baada tu ya uzinduzi wa hii E passport. The next day waliambiwa wamezuiliwa kwamba hard passports hazitolewi tena watafute hizi mpya.

Hakuna mtu anakataa kutafuta mpya. Mahitaji yake

1) Uwe na hati ya uraia ambazo bado kabisa mchakato wake na watu wengine haujawafikia. Hawa watu watafikiwa lini na huu mchakato wa kupata hati za uraia na ambazo zingine zinachelewa sana kutoka? Madhumuni ya safari yake yana expire akiwa kwenye mchakato wa kusubiri hiyo harti ya uraia ili approcess e-passport.

2). Zinafanyikiwa Dar Es Salaam pekee. Watu wafunge ofisi zao na kazi zao mikoa yote ya Tanzania waende kufurika uhamiaji /sijui ofisi gani Dar kwa ajili y akushughulikia E. Passports? Hii kweli unaiona ni convenient kwa muda, fedha na usafiri?

3). Wewe una mgonjwa yuko Kigoma, anahitaji kwenda kwenye matibabu mfano India. Huyo mtu ili apate haati ya uraia anahitaji hati ya kuzaliwa. Alizaliwa Karagwe na ili apate hati ya uzaliwa lazima aende karagwe. Akitoka karagwe, aanze kuomba hati ya uraia, kisha aende Dar kwa ajili ya suala la passpot. Huyu mtu mgonjwa anaweza kuhimili hii mizunguko yote?

Na kama atakuwa na mtu wa kumpeleka,muda wote wa mchakato huu, hata kama atabebwa kwenye machela, atakuwa bado anaitwa mgonjwa?

Bado narudia kusema kwamba, serikali haikuwa na uharaka wa kuzuia utolewaji wa passports papo kwa papo siku moja baada ya uzinduzi. Ki binadamu, no matter serikali ina njaa kiasi gani ya kuchukua fedha za wananchi, walitakwa watoe grace period japo miezi 6 na kwamba baada ya hapo, hizi hard passports zisitolewe tena. Kwa sababu maamuzi yaliyofanyka yameathiri watu wengi sana. NIDA nayo shughuli. Mara mashine mbovu, mara sijui nini ili mradi kama unavyojua ofisi za serikali hazinaga customer care.

Tatizo siyo mwisho wa kutumika. Tatizo ni madhara ya kuzuia passport za zamani ghafula bila kuzinagtia mahitaji halisi ya binadamu na kuwa na mpango mbadala kwa masuala ya dharura.
 
Hati ya uraia ndio National ID ? Kwenye kupatikana Dar peke yake hio ni shida italeta usumbufu sana.
Vitu vingine ni mipangilio binafsi zaidi kama wewe umezaliwa Kigoma leo uko Karagwe kama uliacha nyaraka zako muhimu Kigoma inabidi uzifuate au ujilaumu mwenyewe, kama taratibu zinataka nyaraka halisi lazima uziwakilishe.

Hivi National ID tuliochukua zamanai zinafaa? Maanake hapa kati nilisikia mvurugano mara hazina sahihi mara wanarudia.
 
Naona huna haiba ya uongozi. Hujui maisha ya watu na uandhani watu wote walijua wataugua, wakose passports, au wajiandae kwa kujua serikali italazimisha hati za kuzaliwa hata zile ambazo hazikuteolwa wakati miaka wanazaliwa, hujui kama kuna wazee wanaumwa ghafula na hawana uwezo wa kusafiri haraka kukusanya mahitaji ya E-passport.

Sorry!
 
Una bahati, niliyopata ya kijani imeandikwa inaisha 2028 lakini ikifika 2020 haitumiki lazima nibadili.
mimi nipo dunia gani jamani kumbe zinatakiwa kubadilishwa khaa[emoji15] [emoji15]
 
Naona huna haiba ya uongozi. Hujui maisha ya watu na uandhani watu wote walijua wataugua, wakose passports, au wajiandae kwa kujua serikali italazimisha hati za kuzaliwa hata zile ambazo hazikuteolwa wakati miaka wanazaliwa, hujui kama kuna wazee wanaumwa ghafula na hawana uwezo wa kusafiri haraka kukusanya mahitaji ya E-passport.

Sorry!
Heri yako wewe mwenye haiba ya uongozi. Mimi sina haiba na ndio maana sio kiongozi. Sasa wewe mwenye haiba ingekuwa vizuri unngekuwa kiongozi utatue hayo unayoona hayaendi unavyotaka.
 
duh miezi miwili duh .inchi zengine hadi siku tatu kuchelewa wiki wanayo
 
Back
Top Bottom