Passport: Hali si mbaya kama watu wasemavyo?

Watu wanakosea kuandika RRONDO wanaandika PRONDO na mimi huwa siwasahihishi.

Okay mkuu. Lakini ni kama nishawahi kuona ID ya @PRONDO humu ndani, sana sana kule kwenye jukwaa la mambo ya magari.

-Kaveli-
 
Ndio mimi RRONDO watu wananiita PRONDO na mimi siwarekebishi
 
Jana nimepata passport yangu. Imenichukua miezi miwili tangu niwasilishe maombi mpaka kuipata. Wengi walikuwa wanasema inachukua hadi miezi sita.

Niliomba tarehe 24/11/2017 nikapewa ahadi ya kuchukua tarehe 22/12/2017.

Nilikwenda kuulizia siku chache baada ya hio tarehe nikaambiwa bado. Cha kukatisha tamaa pale niliwakuta watu waliodai waliomba mwezi May!

Baada ya kusikia hivyo nikasema sitarudi kuulizia hadi mwezi wa tatu. Jana nimeenda kuuliza nikaandikiwa kikaratasi namba ya passport na tarehe iliotoka 25/01/2018 itaisha 2018( in fact 2020 haitumiki tena).

Ningeshauri watu wa Uhamiaji muwe na utaratibu wa kutupigia simu pasi zikitoka.

Kwa wale ambao walioomba kama mimi na hazikutoka wana bahati kwasababu wao wanatakiwa kuongeza 100,000 wapate ile mpya na sasa hivi unawasilisha Nation ID tu unapata.

Ila akina sisi 50,000 yetu itatumika kwa mwaka mmoja na miezi tisa baadae tutoe 150,000 kupata mpya.
Sasa unasema nini kama unasema Uliwakuta watu wanasema waliomba mwezi may?
 
Ndio mimi RRONDO watu wananiita PRONDO na mimi siwarekebishi

Okay Bro. Huwa nakuelewa sana kwenye insights kuhusu autos. Siku, in future, nikifikia uwezo wa kununua gari, nitakucheki for advice. You always sound very experienced kwenye autos issues.

cheers mkuu.

-Kaveli-
 
Rrondo na Prondo ni mtu mmoja Id mbili!

Thanks mkuu.

Na nilishawahi kuona ID humu kwa jina la PRONDO if my memory serves me well.
Ila yeye anakataa, anasema watu hukosea tu wanaandika Prondo badala ya Rrondo. Lakini swali la msingi ni: WHY watu wengi wafanye the same mistake and repeatedly?

Moderator njooni mthibitishe hili na mfungieni anaeharibu jina langu.
 
Jana nimepata passport yangu. Imenichukua miezi miwili tangu niwasilishe maombi mpaka kuipata. Wengi walikuwa wanasema inachukua hadi miezi sita.

Niliomba tarehe 24/11/2017 nikapewa ahadi ya kuchukua tarehe 22/12/2017.

Nilikwenda kuulizia siku chache baada ya hio tarehe nikaambiwa bado. Cha kukatisha tamaa pale niliwakuta watu waliodai waliomba mwezi May!

Baada ya kusikia hivyo nikasema sitarudi kuulizia hadi mwezi wa tatu. Jana nimeenda kuuliza nikaandikiwa kikaratasi namba ya passport na tarehe iliotoka 25/01/2018 itaisha 2018( in fact 2020 haitumiki tena).

Ningeshauri watu wa Uhamiaji muwe na utaratibu wa kutupigia simu pasi zikitoka.

Kwa wale ambao walioomba kama mimi na hazikutoka wana bahati kwasababu wao wanatakiwa kuongeza 100,000 wapate ile mpya na sasa hivi unawasilisha Nation ID tu unapata.

Ila akina sisi 50,000 yetu itatumika kwa mwaka mmoja na miezi tisa baadae tutoe 150,000 kupata mpya.
Sorry mkuu mim niliomba tangu mwaka jana mwezi mei hadi leo sijapata sasa sijaelewa inabidi nikaongeze pesa au nitapewa tu ile ya awali alafu baada miaka miwili nibadilishe?
 
Kama haijatoka utaongeza 100,000 upewe mpya. Kaulize kama imetoka au bado na kwanini?
 
Back
Top Bottom