Tatizo ana swaga za kishamba shamba yeye na mshikaji wake H-baba.
Halafu anaimba nyimbo zina melody ngumu siku hizi tofauti na kitambo alikuwa anaimba nyimbo zina melody nzuri na rahisi.
Alichokosea pasha ndicho wanachokoseaga na wengine yaani kunyea kambi. Aliwatosa wale waliomleta mjini kama Mr nice alivyomtosa kameta au kama nani cjui alivyomtosa bizimani wote wakapotea